Featured Posts

Thursday, August 7, 2014

EXCLUSIVE PICHA, HUYU NDIYE MSHINDI WA SERENGETI SUPER NYOTA , WADAU WAPONDA NA KUDAI NI MBIBI

ajabu sana fiesta super nyota mdada ambaye anaonekana umri umeenda amekuwa mshindi wa serengeti super nyota iliyokuwa ikifanyika mwanza ambapo dj fetty wa clouds fm alikua miongoni mwa ma jaji, picha hii hapa ya mshindi toka mwanza, Wengi wameonekana kusema kwamba ni mbibi , ndo hivo lakini kipaji hakiangalii umri


TUMEAMIA HUKU