Featured Posts

Thursday, August 28, 2014

DIAMOND PLATNUMZ AMTEMBEZEA KICHAPO ‘HEAVY’ BABY AKE WEMA SEPETU CHANZO VICTORIA KIMANI.


Image


Rais wa serikali ya watu wasafi Tanzania, Naseeb Abdul Ei Kei Ei Diamond Platnumz au Sukari ya warembo amemshushia kichapo cha mbwa mwizi, nyonga mkalia ini wake, Wema Abraham Sepetu huku chanzo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi baini yake na mwanamitindo mrembo Victoria Kimani kutoka Area Code 254, Kenya.
Image

Hii ndio Picha(Selfie) iliyozua utata inayomuonyesha Ommy Dimpoz, Victoria Kimani na Diamond Platnumz wakiwa studio kabla ya Timbwili kutokea…
Kwa mujibu wa gossip Cop ni kwamba ugomvi ulianzishwa kufuatia kitendo cha mmanyema anayefanya poa katika gemu ya muziki wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz kuposti picha akiwa pamoja na Diamond na Victoria Kimani katika studio za T.H.T Kinondoni wakirekodi nyimbo yao na punde habari zilipomfikia madam Wema ndipo alipoamua kutimba eneo la tukio na hatimaye kuchezea kichapo kilichomfanya atoke nduki eneo la tukio. 

Pichani ni Madam Wema Sepetu baada ya kuchezea kichapo, ukitazama picha hiyo utaona jinsi Miss Tanzania huyo alivyovimba eneo la usoni baada ya kuchezea vitasa vkutoka kwa Rais wa Wasafi.

TUMEAMIA HUKU