Featured Posts

Thursday, August 28, 2014

NIKUITE NANI PESA??? BEYONCE AMZAWADIA NICKI MINAJ MKUFU WA ALMASI

Nicki Minaj na Beyonce
Penye fungu daima ndipo panapoongezeka, mbali na  Remix ya wimbo wa Beyoncé ”Flawless” aliomshirikisha Nicki Minaj kufanya vizuri kwenye vituo na sehemu mbalimbali pia umeboresha urafiki wao baada ya Mrs Carter kuonyesha jeuri ya pesa kwa kumzawadia diva huyo wa Young Money mkufu wa shingoni wa almasi ulioandikwa Flawless.
Kwa kutambua  heshima kubwa aliyopewa na malkia Beyoncé, Nicki Minaj hakuwa mbishi kuianika zawadi yake hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye mamilioni ya wafuasi na kutoa shukran zake za dhati kabisa…
If Beyonce didn’t walk into your dressing room and give you a diamond “FLAWLESS” necklace, then there’s no way you could be having a better week than me. Lol. Awwwww 🙀 thank u QUEEN. ur just a precious gem. I could never thank you enough for your influence on powerful women all around the world. 👑🐝 #WeFlawless”. aliandika Minaj
Pichani ni mkufu wa alamsi aliozawadiwa Nicki Minaj na Beyonce

TUMEAMIA HUKU