Featured Posts

Friday, August 29, 2014

ETI WANAWAKE WANENE JIKONI NI SHIDAAA KULIKO VIMBAO MBAO

Duniani kuna tafiti nyingi na mara nyingi
wataalamu wa masuala mabalimbali huja na
tafiti tofauti tofauti...
Moja ya tafiti ambayo imenivutia kiasi cha
kuja hapa jamvini ni utofauti wa ufundi wa
jikoni baina ya mwanamke kimbaumbau na
yule mwenye neema za allah "curvaceous" ...
Inaaminika kwamba manawake wenye nyama
za nyongeza 'curvy girls' wana ujuzi mkubwa
wa mapishi kuwazidi wale ambao miili yao ni
vimbaumbau...
Sababu kubwa haswa inayopelekea kuwepo
kwa dhana hii ni kutokana na utofauti wa tabia
za ulaji baina ya mwanamke tipwatipwa na
kimbaumbau...
Wataalamu wanadai eti kwa kuwa wanawake
vimbaumbau ni wavivu sana kula basi hata
ujuzi wao wa kuandaa madikodiko,
mahanjumati na mazagazaga ni mdogo pia...
(hawa nafikiri ndio wale wanaochemsha nazi
bila hata kuikuna)...
Hivyo wito wangu kwetu vidume haswa wale
mnaotafuta waifu matirio, kama wewe ni mtu
wa kuchunuku zagazaga hebu konsida basi
hiki kigezo usijekuwa walazwa na njaa au
kutwa washinda kwa mama muuza...
Watu 4,461 wamependezwa na hii jiunge
kuona wanachopenda marafiki z

TUMEAMIA HUKU