Featured Posts

Wednesday, August 27, 2014

TAZAMA HAPA, NICKI INAJI NUSU AAIBIKE, GAUNI LATATUKA AKIWA STEJINI, WATU WEWEEEEE

NickiBooBoo
Hivi juzi katika show nicki minaji alijikuta katika wakati mgumu aada ya gauni lake kutatuka stejini akiwa anatumbuiza katika tuzo za VMA hivyo kupata wakati mgumu kuishikiria ili hasionyeshe maungo yake kwa mashabiki, hata hivyo baada ya kushuka stejini alikwenda kubadirisha na kuvaa nguo nyeupe na kuendelea na show kama kawaida

TUMEAMIA HUKU