Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, April 30, 2014

MLELA WA BONGO MOVIE ADAIWA KUWA TEJA, FATILIA HABARI HII HAPA

NYOTA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kugeuka teja (mbwia madawa ya kulevya) hali inayomsababishia ashindwe kujichanganya na wasanii wenzake katika shughuli mbalimbali.
Nyota wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela
Kikizungumza na Amani juzikati, chanzo  kilisema msanii huyo kwa sasa anavuta unga kiasi cha uteja kujionesha waziwazi na kupoteza mwonekano wake wa zamani.
Juzi, paparazi wetu alimtafuta Mlela na kufanikiwa kumpata nyumbani kwao Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Katika maisha yangu sijawahi kutumia madawa ya kulevya na huwa nayapinga sana. Wanaosema navuta ni waongo, mimi sasa hivi naitwa baba, hivyo majukumu yameongezeka ndiyo maana sijichanganyi kivile.”

AMA KWELI ASIEKUWEPO NA LAKE HALIPO. GARI LA GURUMO UTATA MTUPU

AMA kweli asiyekuwepo na lake halipo! Lile gari la aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi aliyefariki dunia hivi karibuni, Muhidin ‘Maalim’ Gurumo alilopewa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeibua utata mtupu ndani ya familia ya marehemu huyo baada ya kubainika kwamba kumbe hakupewa kadi yake.

Gari aina ya Toyota FunCargo iliyosababisha hali ya sintofahamu kwenye familia ya mzee Gurumo baada ya kufa.
Kwa mujibu wa chanzo makini kutoka ndani ya familia hiyo jambo hilo lilifahamika kufuatia mgogoro mkubwa unaoendelea kufukuta miongoni mwa wanandugu hao ambao sasa wamechangukana kutokana na mgawanyo wa mali za marehemu.
Ilijulikanaje kama hakuna kadi?
Chanzo hicho kilimtaja mtoto wa kike wa marehemu Gurumo aitwaye Mariam ambaye anataka nyumba na gari hilo aina ya Toyota FunCargo viuzwe ili watoto wagawane fedha.
Mke wa marehemu mzee Gurumo Pili Said
“Yule binti alikwenda nyumbani kwa mama yake (mke wa mwisho wa mzee Gurumo aliyekuwa akiishi naye kwenye nyumba yake Mabibo, Dar) na kumtaka ampe kadi ya gari akidai ni la kwake na anataka kuliuza.
“Mama mtu alimwambia mwanaye kuwa baba yao hakupewa kadi hiyo siku alipokabidhiwa gari hilo.
“Hata hivyo, mama huyo alisema siku moja mzee Gurumo alimfuata Diamond alipokuwa akifanya shoo pale Coco Beach (Dar) kwa ajili ya kuulizia kadi hiyo ndipo Diamond akamwambia kwamba akitaka kadi amuulize mtu mmoja aliyesema ni kiongozi mmoja, anafanya kazi maeneo ya Posta Mpya jijini Dar (jina linahifadhiwa kwa sasa),” kilisema chanzo.
Iliendelea kudaiwa kuwa baada ya Gurumo kuambiwa maneno hayo, hakutoa jibu lolote kwa mke wake kama alipewa kadi hiyo au la, lakini mama huyo hakuwahi kuiona.
Kukosekana kwa kadi hiyo kumesababisha kuendelea kuwepo kwa gari hilo, kwani kama ingekuwepo, lingeshauzwa.
Habari kutoka ndani ya kambi ya Diamond zilisema kuwa tukio la kutoa gari kwa mkongwe huyo mwanzilishi wa Bendi za  Mlimani Park Orchestra na Msondo Music Band ulikuwa ni mpango maalum wa kumpromoti msanii huyo ili aweze kung’ara zaidi katika vyombo vya habari ambao uliratibiwa na kiongozi huyo mwenye kulalamikiwa na wasanii mara kwa mara.
Diamond ambaye alipongezwa na wadau mbalimbali kwa kitendo chake hicho kilichoelezwa kuwa cha kiungwana na chenye kupaswa kuigwa, juzi hakupokea simu ya mwandishi alipopigiwa ili kutoa ufafanuzi, kama ambavyo hakujibu ujumbe mfupi (sms) aliyoulizwa kuhusu utata huo.
Hata kiongozi huyo alipopigiwa simu, iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa maneno, pia hakujibu.
Mwaka jana Diamond alimpatia mzee Gurumo gari hilo kama sehemu ya kuenzi mchango wake katika muziki wa Tanzania tukio lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena, Dar kabla ya mzee huyo kufariki dunia Aprili 13, mwaka huu.

MSANII WA FILAMU BONGO, JB AZUA UTATA CLUB, AWABOA WENGI

BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amezua utata kwenye klabu mpya ya Princess Cassino iliyopo Posta mpya, Dar kufuatia minong’ono kuwa, yeye ndiye mmiliki wake.

Hali hiyo ilijitokeza juzi kati kwenye uzinduzi wa klabu hiyo ambapo msanii huyo ndiye alionekana kuwa mwenyeji kwa kukatiza kila mahali.
BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’
“Hivi, JB ndiye mwenye hii klabu nini? Mbona kama mwenyeji kuliko wengine. Anakaribisha wateja, anafuatilia watu kama wanapata huduma sahihi,” alisikika mteja mmoja.
JB alilpoulizwa juzi alikiri kuwa mmoja wa waratibu wa mambo ya burudani ya Cassino hiyo lakini si mmiliki.

MPIGA PICHA ZA SHOW TV AZIMIA KATIKATI YA ZOEZ LA KUMPIGA PICHA MWANADADA HUYU:
















SOMA HAPA NA UTAMBUE SABABU ZINAZOWEZA KUKUFANYA UTAMANI KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA





Kuna mambo mengi sana ambayo husabisha kuhisi hamu ya kuwa na mwanaume au mwanamke kila mara hapa nitaorodhesha
machache yale ya muhimu.


1) Upweke mara nyingi hupelekea sana akili ya mtu kuhama na kutafuta kitu mbadala cha kuweza kujiliwaza na mara nyingi huchagua raha za
kimwili kama kufanya mapenzi au kuwa na mwenza karibu.

>2) Story za Mapenzi kama vile kusoma vitabu vya mapenzi kuangalia picha zenye mvuto wa kimahaba pia kusikia habari hizo vyote hivi vinaweza kukusababishia hamu kubwa sana ya kufanya mapenzi.

3) Kuzoea sana kufanya tendo hilo na mtu ambaye uko karbu nae, na kisha mtu huyo kuondoka au kutenga nae, hii hali inaweza kukupa
shida sana kwani huduma ya karibu tena hauna hivyo utaishia tu kuwa na hamu sana ya tendo hilo na kuanza kuhangaika kutafuta njia
mbadala.
 
4) Pombe na vilevi vingine pia huleta sana hamu ya tendo la ndoa wakati mwengine watu hufikia hata kubaka kwa kushindwa kujizuia.
Haya ndio machache makubwa yanayoweza kusababisha mtu kupatwa na hamu ya tendo La ndoa mara. Unaweza kuyaepuka…!!?

MAKALIO YA TRAFIC WA KENYA AMDATISHA RAIS UHURU KENYATTA NI PIA KESHA SABABISHA AJALI KIBAO BARABARANI KISHA MAKALIO YAKE..!


Mtu Mzima ni kama aamini anacho kiona....."Aisee huyu mleteni awe board guard wangu ...Life is Good...

FUMANIZI : ANASWA AKILA URODA NA MAMA MTU MZIMA MWENYE UMRI ZAIDI YA MAMA YAKE.,,!! HUU NDIO MWISHO WA DUNIA AISEE...!!


Jamaa mmoja alinaswa akivunja amri ya sita na mama mtu mzima kabisa yani mwenye umri zaidi ya hata mama yake mzazi maeneo fulani. Hivi jamani hii nitamaa au ni laana , Dunia inaelekea wapi..!!

KUTANA NA MREMBO MWANACHUO MWENYE KALIO LA AJA AMBAYE, WATU WANAHISI ANALITUMIA KUFAHURU MITIHANI

ANAITWA FAITH ANASOMA CHUO KIKUU CHA MT KENYA AMBAYE UNAAMBIWA KILA AKIKATISHA KORIDO ZA CHUO HICHO LAZIMA WATU WAACHE WANACHOKIFANYA KWA JINSI ALIVYOJALIWA HUKO NYUMA.... NA UNAAMBIWA MIDUME KIBAO WAKIWEMO MAWAZIRI WANAJIGONGA KILA KUKICHA KWA BINTI HUYO... HATA HVYO INASEMEKANA FAITH NI MOTO WA KUOTEA MBALI LINAPOKUJA SWALA LA PEPER JAMBO AMBALO LINAWAACHA WATU NA MASWALI KAMA KWELI NA AKILI ZAKE AU KALIO LINAFANYA KAZI YAKE.







HAWEZI " KUNIPA DOZI TUKIWA KATIKA TENDO LA NDOA " MPAKA ASHIKILIE NA MKONO

Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama wapenzi. 


Huyo mwanaume alikua yuko nice ingawa baadae tulikuja tukaachana. Tatizo la huyo mwanaume ni wakati wa kufanya mapenzi. 


Tulikua tukifanya romance , tukiwa tunajiandaa kufanya mapenzi alikua yuko vizuri , tu tunaendana vizuri na wote tunakua tuko tayari kungonoka ila wakati wa kungonoka ndo kasheshe linaanzia hapo.

Kwanza uume wake hauingii, yaani ni lazima ashikilie na mkono ndo aanze kuingiza na kutoa na hata kama akishikilia bado hawezi kutia kabisa yaani hawezi kwenda juu na chini na hata mimi nashindwa kumsapoti kukatika kwani uume wake unakua kama umeshasinyaana.


Kitu kingine alikua anadai eti uchi unateleza kwa hiyo ananifuta ndio aingize ukiwa mkavu kabisa wakati mimi najua uchi ukiwa una ute ndio rahisi kwa kufanya mapenzi na pia haiwi kazi ngumu kuingiza.


Uume  wake ulikuwa unaonekana umesimama sana ila hauingii unakua kama hauna nguvu. 


Huyu mwanaume alinitesa kweli kihisia kwani nilikua na ham  sana lakini ndio hivyo hawezi kuingiza nakuiacha peke yake ....lazima aishikilie na mkono na ananifuta uchi uwe mkavu ndio ajaribishe kuingiza....


Yaani  kuna mda tulikuwa tunafikia  mpaka tunaamua kuacha kwani hafanikiwi kuingiza anajishikilia kwenye kichwa anaingiza kichwa kidogo.

 Nakumbuka nimeshawahi kuwa nae siku mbili lakini alifanikiwa kuingiza mara moja na hakukaa hata dakika kumi ikatoka.

Alafu sijawahi muona akipiga  bao  zaidi ya mara moja tu .JE, hili ni tatizo gani kwa mwanaume huyu? 
  
Ukimuangalia ni handsome, ananguvu za kutosha tu na uume  wake unasimama vizuri na ni mkubwa vizuri na isitoshe nilikuwa namfanyia blow job ya kutosha na nampa romance ya kutosha kuhakikisha yuko tayari lakini wapi.


Mwenzenu yaliyonipata ndio hayo, Ingawa yule mwanaume niliachana naye ila kila siku nimekuwa nikifikiria je hili ni tatizo gani? Nimekaa na siri moyoni lakini kwa kweli imenishinda .


Na sio kwamba umri wake ni mkubwa ni bado kijana mdogo hajafika hata miaka thelathini, kwa mnaojua labda nini atumie ili awe anajiweza kimapenzi hata nijaribu kumshauri kwani nasikia hata msichana aliyenae sasa ameshaanza kulalamika kwa watu.


Na sikupenda lile tatizo lake kwani wakati wa tendo  alikua anahangaika sana utamuonea huruma na tunaishia tu kujaribu kuingiza hatufanikiwi kufanya.

NAOMBA USHAURI

BASI LAUWA WATU 18 WALIOKUWA WAKIMSITIRI MAREHEMU KANDO YA BARABARA


WATU 18 wamekufa papo hapo wakiwemo askari Polisi wanne katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati wakimsitiri mtembea kwa miguu, aliyekufa kwa kugongwa na gari lisilofahamika.

Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Utaho, kilometa 20 nje ya Mji wa Singida katika Barabara Kuu ya Singida Dodoma.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela, alisema jana kuwa mbali na askari hao, wengine waliokufa papo hapo ni viongozi watatu wa kijiji hicho na wananchi wanaowaongoza na wengine wanne ambao hawajatambulika. 

Kwa mujibu wa Kamanda Kamwela, askari waliokufa katika ajali hiyo ni Koplo Boniface Magubika, PC Jumanne Mwakihaba, PC Novatus Tarimo na PC Michael Mwakihaba na wote wanatoka katika kituo kimoja cha kazi.

Viongozi wa Kitongoji na Kijiji cha Utaho waliokufa ni Ramadhan Mjengi, ambaye ni Ofisa Mtendaji wa Kijiji, Paul Hamis, ambaye ni Mwenyekiti wa Kijiji na Ernest Salanga ambaye ni Mwenyekiti Kitongoji.

Wananchi wanaowaongoza katika kijiji hicho waliokufa ni Saidi Rajabu, Ushirika Itambu, Chima Mughenyi, Salim Juma, Abeid Ramadhan, Mwinyi Hamis na Issaha Hussein.

Kwa mujibu wa Kamanda Kamwela, miili ya watu wengine wanne haikuwa rahisi kutambulika mara moja na wote wamehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa mjini Singida.

Kamanda Kamwela alisema ajali hiyo ilisababishwa na basi la abiria lenye usajili namba T.799 BET aina ya Nissan, mali ya Kampuni hiyo ya Sumry, inayomilikiwa na Mohamed Abdallah wa Sumbawanga, lililokuwa likienda jijini Dar es Salaam likitokea Kigoma.

Alisema kuwa basi hilo lililokuwa likiendeshwa na Paul Njilo, mkazi wa Dar es Salaam, liliwagonga waenda kwa miguu hao waliokuwa wamekusanyika kando ya barabara wakisaidiana na askari Polisi kuondoa mwili wa marehemu Gerald Zephania, aliyekuwa amegongwa na lori lisilofahamika juzi saa moja usiku.

Katika ajali hiyo kwa mujibu wa Kamanda Kamwela, watu wengine wanane walijeruhiwa na wamelazwa katika Hospitali ya Misheni Puma ya mjini Singida.

Habari kutoka eneo la tukio zinasema kilichosababisha ajali hiyo huenda ni kuegeshwa vibaya kwa gari la Polisi, wakati likipakia mwili wa marehemu Gerald, aliyekuwa amegongwa na lori mapema kabla ya basi hilo kufika hapo. Inadaiwa gari la Polisi liliziba barabara.

Akizungumzia ajali hiyo katika Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam jana, Kamishna Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, alitoa pole kwa wananchi wote waliofiwa na ndugu zao na kuwaombea majeruhi kupona haraka.

Alisema Askari wa Usalama Barabarani hawatakuwa na muhali na dereva yeyote atakayekwenda kinyume na Sheria ya Usalama Barabarani. Kutokana na hilo, ametoa mwito kwa madereva kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarni, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika.

“Polisi iko imara kuchukua hatua zozote za kisheria, kwani kuna baadhi ya watoa huduma wa usafiri hugoma pale wanapotaka kuchukuliwa hatua kwa sababu mbalimbali matokeo yake ni uvunjaji wa sheria kwa makusudi,” alisema.

Alisema Jeshi la Polisi limeanzisha msako mkali wa dereva wa basi hilo ambaye alitoroka ili kufikishwa mahakamani, na kuwaomba wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za wahalifu wa aina yeyote ile, ili wakamatwe na kufikishwa mahakamani. Imeandikwa na Abby Nkungu, Singida na Theopista Nsanzugwanko, 

BAADA YA MCHEZAJI WA BARCA KUTUPIWA NDIZI UWANJANI.. MASTAA HAWA WAJIBU MAPIGO HIVI

Amazing: Davido, Samuel Eto’o, Adebayor, Balotelli Post Banana Photos In Support

This awesome, this is amazing and breathtaking…. When I personally watched that video I was really touched…
Dani Alves ate the banana that was thrown at him, he started a revolution. Right now, it’s taken over the

social media.

The racist incident happened during Barcelona’s match against Villarreal on Sunday, when a banana was thrown onto the pitch towards Dani Alves as he went to take a corner. Everyone was amazed as Dani picked it up, peeled it back and ate it. And since then, he has been receiving massive support against racism.

Speaking after the match Alves said:

“We have suffered this in Spain for some time, you have to take it with a dose of humour. We aren’t going to change things easily. If you don’t give it importance, they don’t achieve their objective. I don’t know who it was, but thanks to whoever threw the banana, the potassium gave me the energy for the two crosses which led to a goal.”

The banana thrower has been identified and banned for life from games at the El Madrigal Stadium. The banana campaign for Alves has also gone viral. With even Davido sharing his own photo.. This is a nice move from Spanish F.A.. You wouldn’t want to try it in Nigeria, you will be beaten to stupor before banning of life.

Tuesday, April 29, 2014

HATIMAYE MR BLUE AFUNGUKA JINSI WEMA NA NAJ WALIVYOMFILISI

NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi kutokana na matumizi makubwa ya fedha alipotoka nao viwanja.

Nyota wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue akiwa kwenye pozi.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Mr. Blue, msanii aliyeanza kupata umaarufu akiwa bado kijana mdogo, alisema alilazimika kutumia fedha nyingi akiwa nao, kwani vinginevyo wangemuona hana pesa, kitu ambacho hakuwa tayari kuona kinatokea.
“Mademu wengi walikuwa wanapenda sana starehe, kila day (siku) wanataka twende kiwanja, ndiyo maana kama unakumbuka niliyumba kimuziki.
Wema Sepetu a.k.a 'Beautiful Onyinye'.
“Wanawake wengi niliotoka nao hawajulikani, ila kuna Wema na Najma, ilikuwa ukizama nao dukani lazima ufanye shopping (manunuzi) ya nguvu, kuanzia laki saba, nane na kuendelea ili wakuone unazo na mademu wengi wakisikia tu umepiga shoo, sms hazikauki kuomba uwatumie mawe (pesa),” alisema.
Kuhusu maisha yake ya sasa, Mr. Blue alisema yamebadilika sana, kwani hivi sasa ameoa mwanamke mwenye asili ya Kiarabu na amejaliwa kupata mtoto mmoja, hivyo ni baba wa familia ambaye pia anakaribia kumaliza mjengo wake siku si nyingi.
Mrembo Najma.
Hata hivyo alisema mkewe siyo maarufu, ana malengo na upendo kwani amekuwa akimuaga kila safari anayofanya na kwamba hata yeye anaporejea nyumbani, hupokelewa vizuri.
Mr. Blue ni mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao bado wanafanya muziki na wenye mashabiki wengi ndani na nje ya Bongo.

MAKUBWA: JINI AFUNGUKA LIVE KUHUSU KUZAA NJE YA NDOA

MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa tena nje ya ndoa mpaka atakapoolewa.

Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
Akistorisha na paparazi wetu, Jini Kabula alisema hawezi kurudia tena jambo hilo kwani anaogopa kuchanganya damu kwa vile baadaye watoto wanaweza kuja kugombana na kukosa maelewano hivyo anamuomba Mungu atimize ahadi ya kuolewa ndipo azae.
“Nilizaa na Chuz kwa sababu tulikubaliana kuzaa tu na siyo kuoana hivyo kwa sasa nasubiri niingie kwenye ndoa ndipo nizae, sitaki kuwachanganya watoto wangu,”alisema Jini Kabula.

MASKINI BANZA STONE SASA ARUDIA ENZI ZAKE .... FATILIA HAPA ZAIDI

STAA mkubwa wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza stone’ ambaye anasifika kwa ulevi wa kupindukia na hivi karibuni aliripotiwa kuacha, inadaiwa amerejea tena, safari hii kwa kiwango cha kutisha.

Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ alipokuwa akihojiwa na Global TV Online.
Chanzo makini kutoka ndani ya familia ya mwanamuziki huyo anayefanya kazi na bendi ya Extra Bongo, kimeliambia gazeti hili kwamba hali ya sasa ya Banza ni mbaya, kwani ulevi wake umemfanya kushindwa kabisa kufanya kazi.
“Banza amerudia tabia yake ya zamani, analewa sana mpaka anashindwa kufanya kazi jambo ambalo linaihuzunisha familia yake, afya yake imeanza kuzorota,”kilisema chanzo hicho.
Baada ya kuzinyaka habari hizi paparazi wetu alimtafuta Mkurugenzi wa Extra Bongo ambayo Banza anafanya nayo kazi, Ally Choki.
Banza Stone katika pozi.
“Banza ni sikio la kufa, amerudia kunywa pombe yaani analewa sana, alianzia mikoani ambako tulienda kufanya shoo za pasaka hata kazi kwa sasa hawezi kufanya ndiyo maana hajaonekana jukwaani leo (Jumamosi iliyopita).
“Najiandaa kwenda kwa mama yake kumkabidhi ili ajue kwamba hayupo mikononi mwangu tena, asije kupata matatizo nikaulizwa mimi, Banza tumeshaongea naye sana kuhusu kuachana na pombe lakini hasikii wala haelekei sasa mimi sina la kufanya zaidi ya kwenda kumkabidhi kwa mama yake,”alisema.
Juhudi  za kumpata Banza ili kuzungumzia tuhuma hizi ziligonga mwamba baada ya simu yake ya mkononi kutokuwa hewani.

BATULI ADAIWA KUITIKISA NDOA YA MTUNIS

HABARI za motomoto kutoka vyanzo vya uhakika, zinasema kuwa staa wa kike anayekuja juu kwa sasa katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameitikisa ndoa ya mwigizaji mwenzake, Nice Mohammed ‘Mtunis’ kwa madai ya kutoka naye kimapenzi.

Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Chanzo chetu, kwa sharti la kutochorwa jina lake gazetini kilifunguka kuwa ishu ya wawili hao kuwa wapenzi siyo siri, kwani mara kadhaa wamekuwa wakijiachia sehemu mbalimbali, huku mke wa Mtunis akinyetishiwa, jambo lililosababisha migongano ndani ya ndoa hiyo.
“Mmechelewa kweli kujua! Leo ndiyo mnauliza kuhusu Mtunis na Batuli? Hao ni wapenzi na penzi lao limenoga kwelikweli sasa hivi. Imefikia hatua Mtunis na mkewe hawana maelewano mazuri. Nyumba ni kama inayumbishwa na Batuli lakini Mtunis hataki kumwacha Batuli,” kilipasha chanzo hicho.
Mkongwe wa filamu za Kibongo, Nice Mohammed ‘Mtunis’.
MTUNIS KIKAANGONI
Kama ada, Risasi Mchanganyiko lina desturi ya kupata mzani wa habari kabla ya kuirusha, ndivyo ilivyofanyika kwa Mtunis ambaye aliposomewa mashitaka yake alipovutiwa waya, alikanusha vikali akidai ndoa yake ina amani na hana uhusiano na Batuli.
“Kwanza nani amekuambia kuwa mimi natoka na Batuli? Yule ana mtu wake na mimi nina ndoa yangu. Sikia kaka, katika kipindi ambacho ndoa yangu ina amani ni hiki, sitaki kabisa haya mambo. Mtakuja kusababisha Batuli agombane na mumewe kisa mimi,” alisema Mtunis kwa sauti ya juu.
BOFYA HAPA KUMSIKIA BATULI
Batuli alipopatikana kwa njia ya simu, alikuwa msikivu muda wote alipoelezwa kuhusu madai hayo, mwishoni akajibu kwa mtindo wa kuuliza: “Kwanza nikuulize, Mtunis ni Muislam au Mkristo?”
Mwandishi wetu alipomjibu kuwa ni Muislam, akaendelea: “Sasa kipi cha ajabu hapo? Kwa imani yake ya Kiislam, ana ruhusa ya kuoa wake hadi wanne. Halafu kuna wakati nilishaishi naye miaka si chini ya minne, kwa hiyo sioni ajabu hapo. Hata kama ikitokea tena hakuna tatizo.
KUITIKISA NDOA YA MTUNIS
“Achana na watu bwana, acha tu watu waongee. Lakini ninachosema hakuna cha ajabu hapo. Maisha yanaruhusu, yaani kisheria hata Mungu anaruhusu - siyo ajabu. Siwezi kuzungumza zaidi maana nimesafiri nipo kwenye harusi, dada yangu anaolewa.”
Imeandikwa na Joseph Shaluwa, Shakoor Jongo na Musa Matej

MREMBO ALIYEPIGWA NA MSANII CHIDI BENZI ADAIWA KUWA MAHUTUTI HOSPITALINI

MREMBO Mwanaisha Kiboye, mkazi wa Ilala, Dar anayedaiwa kupigwa na mwanamuziki wa Kizazi Kipya Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, hali imekuwa mbaya kwani yu mahututi.

Mwanaisha Kiboye, akiwa hoi hospitali baada ya kipigo kutoka kwa msanii Chid Benz.
Juzi Jumatatu, wakati staa huyo akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar kwa kesi hiyo, Mwanaisha alikuwa akipumua kwa tabu kwenye chumba maalum katika Hospitali iitwayo Aviation iliyopo maeneo hayo ya Ilala.
MAMA MDOGO ANASEMAJE?
Kwa mujibu wa mama mdogo wa Mwanaisha aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha, hali ya mgonjwa imekuwa tete kwani kwa siku moja amekuwa akizimia zaidi ya mara tano.
Mtuhumiwa Chid Benz.
AZIMIA MARA TANO
“Mwanangu hali yake ni mbaya anazimia zaidi ya mara tano kwa siku halafu watu wananiambia nitoe kesi mahakamani si nitaonekana chizi jamani?” alisema mama huyo huku akilengwalengwa na machozi.
Alisema hali ya mgonjwa imekuwa ikibadilika hasa suala la presha kupanda na kushuka huku mapigo ya moyo yakiwa chini hivyo kuwatia hofu ndugu, jamaa na marafiki.
KIPIMO CHA KICHWA
Aliongeza kuwa siku hiyo (Jumatatu) madaktari na wauguzi walikuwa katika harakati za kumpeleka kwenye kipimo kiitwacho CT Scanning kuangalia madhara yaliyompata kichwani na kusababisha hali kuzidi kuwa mbaya.
Mwanaisha Kiboye akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Aviation, IIala.
Mwanahabari wetu alifanikiwa kuingia wodini ambapo katika kipindi cha saa kadhaa Mwanaisha hakugeuka wala kuamka kutoka usingizini.
TURUDI KWENYE KESI
Juzi (Jumatatu) Chid alitakiwa kupandishwa kizimbani Mahakama ya Mwanzo, Wilaya ya Ilala, Dar kwa ajili ya kesi hiyo lakini hakutokea kortini badala yake alimtuma mdhamini wake amuombee udhuru kuwa alikuwa akiumwa.
CHEMBA KIDOGO
Karani wa mahakama hiyo, Nusura Seleman alipoita kesi hiyo, mdhamini huyo na ndugu wa Chid Benz na ndugu wa Mwanaisha, walijongea kwenye ‘chemba kidogo’ mbele ya Hakimu Leonia Muta.
HAIWEZEKANI
Katika kesi hiyo ambayo mwanahabari wetu aliifuatilia hatua kwa hatua, hakimu Muta aliwaita wenye kesi hiyo lakini wote hawakuwepo ndipo hakimu huyo akasema hawezi kuendelea na kesi hiyo bila wenye kesi wote kuwepo. Shauri hilo liliahirishwa hadi Mei 5, mwaka huu.
MAMA CHID ATOLEWA NDUKI
Akizungumza nje ya mahakama hiyo, kaka wa Mwanaisha aliyejitambulisha kwa jina la Swedy alisema:
“Hali ya ndugu yetu ni mbaya namna ile halafu wanatuambia tukayamalize nyumbani, hilo si jambo la kushangaza jamani?
Mama yake Chid Benz alikuja nyumbani kutaka kumuona mgonjwa tukamtoa nduki.
“Hali ya ndugu yetu ni mbaya hivyo asijekudhurika na jambo lolote akiwa nyumbani kwetu ikaonekana tumemfanyia kusudi.
CHID NAYE ATOLEWA BARU
“Hata Chid Benz mwenyewe naye juzi (Jumamosi iliyopita) alikuja na kutupigia magoti naye tukamtoa baru, asitulee zake kwanza hii siyo mara ya kwanza kumpiga dada yangu kuna kipindi alimpiga kesi ilikuwa Kituo cha Polisi cha Kilwa Road.”
BADO HALI TETE
Hadi gazeti hili linakwenda mitamboni Jumatatu jioni, bado hali ya Mwanaisha bado ilikuwa ni tete.
Chid Benz alidaiwa kumpiga Mwanaisha Siku ya Pasaka Aprili 20 mwaka huu maeneo ya Ilala, Dar.

TUMEAMIA HUKU