Featured Posts

Sunday, August 31, 2014

GAUNI LA LULU LAYACHORA MANIDO YAKE WANAUME WAPENDA SAA SITA HOI HOI


Vazi  alilokuwa  amevaa Lulu  Michael  katika  fainali  za  Shindano  la  TMT  lilizua  balaa  kubwa  kwa  wanaume  wapenda  sketi  baada  ya  vazi  hilo  kuanika  hadharani  maungo  nyeti  ya  msanii  huyo.


Katika  shindano  hilo, Binti  mdogo  toka  Mtwara, Mwanaafa Mwinzago, aliibuka  kidedea  na  kujinyakulia  milioni  50

TUMEAMIA HUKU