Featured Posts

Thursday, August 28, 2014

TETESI ZA ANT KUMCHUKUA MME WA MTU... AAMUA KUTOFANYA SIRI TENA

Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul
‘ Diamond, ’ Moses Iyobo amefunguka kwa
mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa
kutoka kimapenzi na mcheza filamu mahiri
Bongo, Aunt Ezekiel kuwa hawezi kumuacha
msanii huyo ng’ o. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni , Moses
alisema kuwa kutokana na maneno mengi
kuenea kuwa anatoka na Aunt, ameona ni bora
aweke wazi hisia zake kwamba ni kweli
anampenda msanii huyo na kuwa naye mbali
itakuwa vigumu . “ Mengi yameongelewa sana sasa naweka wazi
kuwa nampenda sana Aunt. Unajua kama mtu
haukuwa na uhusiano naye mara unaanza
kusikia vitu vya ajabu bora tu ufanye kweli
hata kama wanakusema wakuseme kihalali na
si vitu ambavyo si vya kweli , ” alisema dansa
huyo ambaye ni mume wa mwanamke
aliyefahamika kwa jina moja la Mwegi.

TUMEAMIA HUKU