Featured Posts

Sunday, August 31, 2014

LADY JAY DEE AFUNGUKA KUHUSU TETESI ZA KUCHEPUKA NA DOGODOGO

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa
kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na
uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu
maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto
wa Vitoto’.
Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee
ambaye anadaiwa kuachana na mume wake
Gadner G Habash ameonekanba mara kadhaa na
Mtoto wa Vitoto na kwamba amewahi kuonekana
akiwa na gari lake. Kuna habari za kuniudhi Ila hii imenichekesha.
Kwahiyo mtoto wa vitoto ndio bwana angu????
Basi sawa nashukuru naona mmenianzia tena sasa
picha za February Na nilizi post mwenyewe humu
insta leo ndio mmeziona? Ukweli mnaujua
mmeamua tu kuzingua ,,, wangapi wameshapiga
picha na hiyo Range? Duuuh! !!!!! Shkamoooni
Moyo wangu chuma. Pigeni mawe mpk mchoke
Kama ambavyo mmekuwa mkifanya miaka yote na
bado nipo hapa hapa.”

TUMEAMIA HUKU