Featured Posts

Friday, August 29, 2014

JAMANI SURA NA UMBO LA MKE WANGU LINANITATIZA AMBO KUMBE MBOVU TU

Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana!
Mwaka jana mwezi wa tatu nilifunga ndoa na
mke wangu. Tumejaaliwa kupata mtoto mmoja
wa kiume. Kitu kikubwa kilichosababisha
nikamuoa ni sura yake ya kuvutia, sauti yake
tamu pamoja na umbile lake kwa ujumla.
Kiukweli ameumbika sana.
Tatizo alilo nalo mke wangu ni kwamba kwa
sasa hakamatiki! Hatulii. Anatembea hadi na
marafiki zangu. Kibaya zaidi ni kwamba siku
hizi kila nikitaka kufanya naye mapenzi
ananiambia hajisikii kufanya hivyo.
Ameanza kunidharau na kuniona mimi sina
hadhi kwake. Inaniuma sana.
Wazazi wa pande zote mbili wamejaribu
kulitatua hili bila mafanikio.
Sasa nimeona

TUMEAMIA HUKU