Featured Posts

Friday, August 29, 2014

SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZABAMBWA LIVE BILA VHENGA

Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini
Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la
Mama Zahara, ameibuka na madai mazito
akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni
mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti
Lulu’ kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye
aitwaye Zahara, Ijumaa lina kisa na mkasa.
Mama huyo, akiwa amefura, alitinga kwenye
Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers
zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, mapema
wiki hii na kueleza kuwa amebaini mchezo
mchafu unaoendelea kati ya binti yake ambaye
ni denti wa kidato cha pili na Anti Lulu.
MSIKIE MAMA MWENYEWE
Akizungumza kwa hasira, Mama Zahara
aliwaka: “Mimi nina mtoto huyu tu wa kike,
anasoma boarding huko Tanga lakini hivi
karibuni alirejea akidai wamepewa likizo ya
wiki moja.
“Tangu huyu mtoto amekwenda boarding,
nimebaini amebadilika sana, amekuwa na
vijitabia ambavyo sivielewi hivyo nikawa
namchunguza sana.
“Leo (Jumanne wiki hii) wakati niko jikoni
nikasikia anaongea na mtu akiwa chumbani
kwake, mazungumzo yale yalinitia shaka kwani
kuna muda nikamsikia ‘akimkisi’ aliyekuwa
anazungumza naye.
“Nilihisi kitu f’lani lakini nikasema nitamvizia
nichukue simu yake nikiamini kama kuna
kinachoendelea nitagundua, na kweli, alipotoka
kwenda bafuni nikaichukua simu yake na
kukutana na mambo ya ajabu.
“Nilinasa hizi sms ambazo zilinionesha
waziwazi kwamba mwanangu anafanya vitendo
vya kisagaji. Niliumia sana hasa ukichukulia
kwamba nina binti huyo tu.“Nilipoichukua ile
namba, nikataka kujua kama kweli alikuwa
anachati na msichana mwenzake au
mwanaume, ikabidi nifanye kama nataka
kumtumia pesa kwenye simu yake na hapo
ndipo likaja jina la Lulu Semagongo.
“Nilishtuka kwani namjua huyu msanii tangu
alipokuwa mtangazaji. Nilipompigia akanijibu
kwa kifupi tu kwamba nimlee vizuri mwanangu
na yeye hawezi kumfanyia vitendo hivyo,
nikaona bora nije kwenu mtanisaidia.”
MESEJI ZENYEWE ZIKOJE?
Zahara: Natamani kufanya kale kamchezo,
unaweza kunisaidia?
Anti Lulu: Nitumie pesa!
Zahara: Kiasi gani cha pesa? Pesa siyo tatizo,
umenielewa lakini? Nataka tu…(kitendo
kichafu).
Anti Lulu: Nitumie hiyohiyo, kwa muda huu
nitumie 30,000.
Zahara: Sawa halafu tunaonana vipi?
Anti Lulu: Nitumie pesa muda huu, Jumamosi.
Zahara: Mbona mbali sana mpenzi, leo
haiwezekani au hata kesho, pesa siyo tatizo.
Anti Lulu: Nitumie pesa basi.
Zahara: Subiri kidogo baby, simu yenye pesa
iko kwenye chaji, usijali, nashukuru kwa
kunionea huruma.
Anti Lulu: (kimya).
KESHO YAKE
Anti Lulu: Umeona ishu kunidanganya siyo?
Zahara: Siwezi kukudanganya mpenzi, ndiyo
naamka nitakutumia ila usije ukanidanganya
maana nina..., hiyo Jumamosi tunaonana
wapi?
Anti Lulu: Tuta-meet (kukutana) Bondeni Hotel
(ipo Magomeni, Dar), basi nitumie hiyo pesa.
Zahara: Nikutumie kwenye namba hii, vipi
tutatumia vifaa?
Anti Lulu: Nitumie kwenye namba hii.
Zahara: Nijibu basi kama tutatumia vifaa au
hivihivi…
Anti Lulu: Hakuna haja ya vifaa, mimi
natosha…
Zahara: Haya natuma, nitafurahi sana.
Baada ya maelezo ya mama huyo kisha
kuziona sms hizo, kweli zilionesha Zahara
ndiye aliyekuwa akimshawishi Anti Lulu
amfanyie kamchezo hako huku msanii huyo
naye akionesha kuujua na kutaka apewe
kwanza Sh. 30,000.
Kama ilivyo ada ya gazeti hili kutoa nafasi kwa
mtuhumiwa kusikika, Ijumaa lilimsaka Anti
Lulu ili kupata maelezo yake ambapo alikuwa
na haya ya kusema:
HUYU HAPA ANTI LULU
“Kusema ukweli huyo binti ndiye aliyekuwa
akinisumbua kwa kunitumia sms za kunitaka.
“Alionekana kuuzoea na kuupenda sana sana
huo mchezo, mimi sijawahi, ni two different
things (vitu viwili tofauti).
“Inavyoonekana alitaka kunichafua kwani
alinilazimisha sana, sijawahi kufanya huo
mchezo na wala sifikirii hasa kwa binti kama
mimi ambaye naamini wapo wanaume
wanaonipenda, niingie kwenye usagaji natafuta
nini?
“Huyo binti mwambieni anikome kabisa.”
KUTOKA MEZA YA IJUMAA:
Ni vyema wazazi wakawa na utaratibu wa
kuwafundisha watoto wao juu ya madhara ya
kujihusisha na vitendo haramu kwenye jamii ili
wawe na mwanga wa maisha yao ya baadaye
na hasa viongozi wa kesho wa taifa letu.

TUMEAMIA HUKU