Featured Posts

Sunday, August 31, 2014

MASKINI BINTI ABAKWA HADI KUFA BAADA YA KUDAI PINDA HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA

Kati ya mambo makubwa leo katika mitandao ya
kijamii hasa Facebook na Twitter ni taarifa ambazo
mimi pia nimezipokea kwa mshangao na
masikitiko makubwa , ni taarifa kuhusu mauaji ya
mwanadada Bettie Ndejembi ambaye amefariki
baada ya kubakwa hadi kupoteza fahamu.
Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na
manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii
wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya
nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni
kauli ya marehemu kwamba alidaiwa kusema Pinda
hawezi kuwa Rais .
Timu yetu ya Fichuo Tz inaendelea kulifuatilia
suala hili kwa undani zaidi, endelea kutufatilia
upate habari zaidi Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na
manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii
wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya
nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni
kauli ya marehemu kwamba alidaiwa kusema Pinda
hawezi kuwa Rais .

TUMEAMIA HUKU