Featured Posts

Sunday, August 31, 2014

DIAMOND ATOA YA MOYONI , HII NI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUPELEKWA KWENYE SHOW SAA 10 ALFAJIRI HUKO GERMANY

kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji
wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS
iliyoandaa show ya Stuttgart Germany. ..
kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni
jins watu walivyoamua kujitolea kuja
kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf
mwisho wa siku promoter anatupeleka
wasanii kwenye show saa kumi alfajiri. ..
najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa
disappointed.. . lakini naomba mtambue
kuwa halikuwa ni kosa langu

TUMEAMIA HUKU