Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, September 25, 2014

PICHA SNURA AKILANA MATE NA BWANA WAKE ZAVUJA, ZITAZAME HAPA




NOMA HII PICHA TATU ZA UTAMU ZA CHUCHU HANS DEMU WAKE RAY ZAVUJA NA KUSAMBAA KWA KASI

jamani jamani sasa hawa wasanii ni laana au kutafuta kiki au umaarufu unawasumbua, swala la msanii kama chuchu kupiga picha kama hizi na kuruhusu zisambae si kukosa maadili huku jamani, hata kama ndo umechora tatooo sio poa sana kuwaonyesha watu amba hawahusiki kabisa, wasanii wa bongo badilikeni


PICHA , MASOGANGE AZIDI KUWATIA PRESHA WENYE MAKALIO MADOGO INSTAGRAM





AIBUUU...WAFUMWA WAKINGONOKA UKUMBINI WAKIWA WANAANGALIA FILAMU YA NGONO


AIBUU...MAKAHABA WAKAMATWA NA KUTIWA NGUVUNI...ANGALIA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA

Last weekend, police raided a prostitution den located located at a serviced apartment in Adams Arcade after a tip-off from members of the public.
Several prostitutes were arrested with their male customers but what caught the attention of many is a man who cried like a baby in the full glare of cameras after being arrested.
The middle-aged man claimed that he is a taxi driver who had gone to drop his customer in the prostitution den but police insisted that he was caught right in the act with a prostitute and he was whisked to a police vehicle with other prostitutes.

FACEBOOK SIYO KABSA !! MREMBO ATUPIA PICHA CHAFU YAANI FULL UCHI NA HAJAFUNGIWA ACCOUNT .....MTAZAME HAPA

What won’t these young ladies not do to get unnecessary attention? Here is another lady by the name Rose Barbie Illettie as her Facebook page says, posting immoral photos just to gain attention in the music industry. Well, we won’t bother writing much, just visit her facebook page @ http://facebook.com/illettie and feed your eyes to see what someone’s future 

Rose Barbie Illettie


mother is doing to her youth

Baadhi Ya Picha Zake
Picha Chafu Zaid Bofya Hapa CHINI

DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUPAA..APATA MCHONGO MPYA WA APPLICATION YA SIMU, soma hapa

Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo ‘Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa kijana wako sasa ni balozi wa application mpya iitwayo Mziiki’.Hii ni application ambayo itatumiwa na watu wenye simu za androad kusikiliza muziki huu ndiyo muonekano wake utakapokuwa ume instal kwenye simu yako.


Maandishi ya Diamond pamoja na alichokipost ni hiki

USIKUBALI KUOGOPA KUMUONYESHA MKE AU GIRLFREND WAKO UMPENDAE KISA UNAOGOPA WASHKAJI WATAKUONA BWEGE


Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic. Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni...tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana bwege na ukiangalia ligi ya ulaya sebleni kwako na mke wako unaonekana bwege pia...au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio sikatai usikae na washkaji lakini usipitilize sasa. Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia..jamani ?

SOMA UJUMBE MZIITO WA MARTIN KADINDA KWENDA KWA LULU MICHAEL

elizabeth michael lulu martin Kadinda Alichoandika Martin Kadinda kwa Lulu ni sheedahAlichoandika mzee wa “Mvuto Kwanza,” designer Martin Kadinda kwa “Woman Crush Wednesday” wake, Elizabeth “Lulu” Michael huko Instagram, mie hoi! Nukuhu:


“Okey okey… my first WCW goes to this Little pretty Lady @officiallulumichael hivi we mtoto kwanini unajua kutesa watu hivi unajua watu wavyohangaika na wewe kwenye ndoto usiku kucha.. . Nguo wanazokuvalisha na kukuvua humo ndotoni?? Mikao wanayokukalisha ndotoni unaijua ?? Style wanazokukunja sasa mpaka wametoa mpya zinaitwa Lulu kagoma sio tena yule kitoweo…. Ile kifo cha mende inaitwa Lulu kasinzia sasa sijui huwa unasinzia miguu juu ama vile… ila all in all Ur Just too beautiful My 

Wednesday, September 24, 2014

AIBU YA MWAKA:BINTI AACHIA PICHA ZAKE ZA UTUPU MTANDAONI KUTAFUTA WANAUME..

PICHA ZA MTOTO WA SENETA WA NAIROBI MIKE SONKO ANAYESIFIKA KWA KUPIGA PICHA ZA UTAMU HIZI HAPA




Mtoto wa Seneta wa jiji la Nairobi Mike Sonko anaye julikana kwa jina la  Saumu ameingia tena kwenye headlines baada ya picha zake zilizovuja zikionyesha baadhi ya maungo yake wazi ambapo inasemaka mtoto huyo anafuata nyayo za kina Vera Sidika ambao leo ni Video Vioxen wakubwa sana kenya zitazame picha zake  

AIBUU KWA JAMAIII YETU...MABINTI WACHEZESHWA NUSUUTUPU JUKWAANI NA KUFANYIWA VITENDO VYA AJABU.

 

Je ulisha wahi kujiuliza ni kwanini wanawake wengi wapo tayari kudhalilika kiasi cha kutembea uchi 
kama mnyama, cha ajabu zaid bora ya wale wanaotembea uchi picha tulizopata hivi punde ni za 
stage au dancr floor moja hii ni hatari sana wadau picha tulizoweka ni kidogo zenye maadili lakin kwa picha ambazo hawa wadada wamechezeshwa uchi wa mnyama kama walivyozaliwa 

 

KWELI POMBE SIO CHAI...MREMBO AUMBUKA BAADA YA KUZIDIWA NA VIROBA

 

Hali hii sio ya kawaida kutumia kitu bila kipimo kwani inaweza kuleta madhara makubwa sana kama hujawa makini

WOLPER SASA ACHOKA NA MAISHA YA UPWEKE ASAKA BWANA WA KUMUOA

Na Imelda Mtema
STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.
Staa mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper
Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi kinapita cha kufanya ujana ambacho tayari ameshakipitia na sasa ni muda wa yeye kutengeneza familia.
“Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke maana nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote,” alisema Wolper pasipo kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.
Jacqueline Wolper akipozi.
Wolper amewahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na  mastaa kadhaa akiwemo Mohamed Mtoro ‘Dalas’ ambaye alimbadilisha dini ili waweze kufunga ndoa lakini ikaota mbawa.

BAADA YA AROBAINI YA MAMA TUNDA, AFANDE SELE ANASWA LIVE USIKU AKIWA NA DEMU MPYA

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzikati alinaswa akiwa na demu mpya akiwa ni siku moja tu baada ya kufanyika kwa 40 ya aliyekuwa mzazi mwenzake, marehemu mama Tunda.
Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’,akiwa na mpenzi mpya.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Septemba 21 mwaka huu ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati staa huyo aliyekuwa mmoja wa watoa burudani katika tamasha la Fiesta, alipoonekana akiingia akiwa ameambatana na mrembo mmoja akiwa ameshikana naye kimahaba.
Akiwa ndani ya uwanja huo, mkali huyo wa mashairi yenye vina kwa muda mwingi alikuwa pamoja na msichana huyo ambaye hakufahamika jina, wakiwa na dalili zote za wapendanao.
Mkali wa 'Rhymes' Bongo, Seleman Msindi ‘Afande Sele.
Alipoulizwa juu ya suala hilo, Afande Sele alicheka na kumtaka paparazzi wetu kuachana na masuala hayo aliyoyaita binafsi, badala yake asubiri apande jukwaani apate picha za kazi atakayofanya.

KWA MARA YA KWANZA SHILOLE AFUNGUKA JUU YA NUHU MZIWANDA KUKATALIWA NA MASHABIKI WAKE


Na Shani Ramadhani
KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote.
Mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akizungumza na paparazi wetu, Shilole alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.
‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake 'Nuh Mziwanda'.
“Wakati namtambulisha Nuh kwa wakazi wa Tabora kuwa shemeji yao kiukweli nilishindwa kuelewa kwa nini nilizomewa ila ninachoweza kusema tena wakubali, wakatae Nuh atabaki kuwa shemeji yao tu,” alisema Shilole.

DIAMOND AMTOA MACHOZI MWANADADA MENINANAH, MWENYEWE AOGOPA KUSIKIA ANASAKWA NA WEMA KUPEWA KIPIGO

YALE madai kuwa sexy lady wa Bongo Fleva aliyeibukia kwenye Shindano la Kutafuta Vipaji la Epiq Bongo Star Search 2012, Meninah Abdulkareem ya kutaka kuolewa na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yamemtoa machozi mwanadada huyo.

Sexy lady wa Bongo Fleva aliyeibukia kwenye Shindano la Kutafuta Vipaji la Epiq Bongo Star Search 2012, Meninah Abdulkareem.
Hivi karibuni Meninah na Diamond walizua na bado wanaendelea kuzua mjadala kila kukicha ambapo taarifa juu ya wawili hao kutaka kufunga ndoa ya chinichini zinaendelea kusambaa kwa fujo ambapo mwanadada huyo amelonga na Amani kwa dakika kumi.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kikizungumza kwa kujiamini, chanzo makini ambacho kiliomba hifadhi ya jina kilidai kwamba hakuna ndoa tena kati ya Diamond na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na kwamba ndoa inayopangwa kwa sasa ni ya Meninah na Diamond.
Chanzo hicho kilinyetisha kwamba wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za Kili mwaka 2014 na tangu hapo wamekuwa na ukaribu unaodaiwa unataka kuzaa ndoa.
WEMA AMWINDA
Ilisemekana kwamba baada ya Wema kuzinyaka habari hizo kuwa anataka kunyakuliwa ‘beibi’ wake mbaya zaidi wanataka kufunga ndoa, malkia huyo mkubwa wa sinema Bongo aligeuka mbogo na kuanza kuweka mikakati ya kumteketeza Meninah asiweze kufunga ndoa na Diamond.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kuna madai kwamba Meninah aliposikia Wema anamsaka usiku na mchana ili amshikishe adabu, msanii huyo alishtuka kwa kuwa anaujua vizuri ‘mziki’ wa staa huyo.
VIKAO VYA HARUSI VYAFANYWA
Taarifa ziliendelea kudai kwamba, vikao vya harusi vya chinichini vinaendelea kufanywa huku wahudhuriaji wakiwa ni mdogo wa Diamond ambaye pia ni mwanamuziki, Mwanahawa Abdul Juma ‘Queen Darlin’ pamoja na baadhi ya ndugu wa upande wa mama Diamond ambao wamekuwa wakifanya kila wawezalo kuhakikisha ndoa hiyo inafungwa.
POMBE NA STAREHE VYATAJWA
Sababu kubwa inayosemekana Wema kutemwa kuolewa na Diamond ni kutokana na kuendekeza pombe na starehe jambo ambalo Meninah yupo nalo kando na kwamba hivi sasa amekuwa akitimba kwa mama Diamond bila wasiwasi huku akizama jikoni kupika, kupakua na kufanya kazi ndogondogo za ndani ili kuthibitisha kuwa yeye ni mama bora.
DIAMOND AMTOA MACHOZI
Baada ya kunyaka madai hayo, Amani lilimsaka Meninah na kumhoji juu ya sakata hilo la kutaka kuolewa na Diamond ambapo alikuwa na haya ya kusema:
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu.
“Yaani sijui hata nianzie wapi kuzungumzia hili la kutaka kufunga ndoa na Diamond, naomba niseme ukweli kwamba nashangaa, kwanza sijui chochote, nimekuwa nikiandikwa mara kwa mara lakini taarifa hizo wala hazina ukweli wowote.
“Mimi na Diamond ni tofauti kabisa, sijawahi kuwa na ukaribu naye. Kwanza naumia sana na kutokwa na machozi kuendelea kusikia taarifa hizi kuwa naolewa naye kitu ambacho hakipo kabisa, hata yeye mwenyewe akisikia hivi anaweza kumtafuta mtu ambaye anasemwa kuwa anatoka naye jambo ambalo si la kweli.”
“Wema namheshimu kama dada yangu, mtu ninayemjua kwenye tasnia ya filamu Bongo, kwanza wote tunafanya sanaa japokuwa kwa upande wake anafanya filamu na mimi muziki. Hizo taarifa juu ya kuniwinda sijui na sijazisikia. Kiukweli zimenishtua sana.”
Diamond alipotafutwa kuzungumzia ishu hiyo hakupatikana kwa kuwa alikuwa ziarani barani Ulaya.TUJIKUMBUSHE
Kwa wiki kadhaa sasa, Meninah na Diamond wamekuwa wakihusishwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi.

OMMY DIMPOZ NA VANESSA MDEE SASA SIO SIRI TENA, WAANIKA KILA KITU HADHARANI

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, imedaiwa kuwa amemmwaga na kuhamishia ‘mahaba niue’ kwa mtoto mzuri anayefanya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee.
Mbongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’,  na Vanessa Mdee wakila 'good time'.
Tukio la kudhihirisha kwamba wawili hao ni wapendanao lilitokea juzikati walipokuwa kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta katika Mikoa ya Iringa na Morogoro ambako paparazi wetu aliwafuatilia hatua kwa hatua.
Chanzo chetu kilicho karibu na wawili hao kilipigilia msumari wa uwepo wa penzi motomoto kati ya wawili hao kwa kudai hata ukaribu wa msanii Jux na Vanessa ulioripotiwa hivi karibuni katika vyombo vya habari, ulikuwa ni upambe tu kwa Dimpoz.
Mwanadafada wa Bongo Fleva Vanessa Mdee,  akibadilishana mawazo na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.
“Jux alikuwa mpambe tu kwa Dimpoz wala hakuwa na uhusiano na Vanessa kama wengi walivyokuwa wakifikiri,” kilisema chanzo hicho.
Mara baada ya paparazi wetu kuwafotoa picha kibao zinazowaonesha wawili hao wakipeana kampani ya karibu kwa nyakati tofauti katika ziara hiyo, alimvaa Dimpoz na kumuuliza kama ndiyo ameamua kujisevia moja kwa moja au vipi, msikie alichojibu:
Wakikonga vyoyo za mashabiki.
“Ujue kuna vitu unaweza kujitahidi sana kubishana na watu lakini kuna muda inabidi uwe mpole tu kama hii ishu yangu na Vanessa maana walishaongea sana juu ya uhusiano wetu, sasa nashindwa hata namna ya kumwepuka.
“Hatujawahi kugombana hata siku moja na sina jinsi ya kuepuka kufanya naye chochote maana kama ishu ya mapenzi kati yetu ipo wazi na hakuna jipya ambalo naweza kusema watu wakanielewa,” alisema Ommy Dimpoz.Alipoulizwa Vanessa kuhusiana na uhusiano wao, aliishia kucheka tu na kudai hakuwa na cha kuzungumza.

KWA STYLE HII..TUTAFIKA KWELI???ETI NI MZUKA!!!! NOMA TAZAMA MWENYEWE HAPA

Kamera yetu iliwana watu hawa wawili wakicheza mzika kama wana sarakasi huku wakijiachia na mitindo mbali mbala jukwaana wikiendi hii

WEMA SASA AWAGUSA PABAYA MASHABIKI, WAJA JUU BAADA YA KUPONDA SIMU ZAO


Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akichezesha taya na Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.

My Take:Hivi Sister wema hizo simu ulizozidharau unazijua vizuri kweli? Hivi unaweza ku-compare features za Huawei Ascend P7/Tecno H7 na Samsung Gallaxy S4?

YALAAAAAA!!! ANGALIA ANAVYO MBANJUA AMRI YA 14 BILA AIBU OFISINI NA DENT WAKE.... NI AIBU HIII



TAZAMA PICHA HAPA chini

MWALIMU AKIMBIA KITUO CHA KAZI BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTAMU KUBANDIKWA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO

ANGALIZO PICHA NIA UCH********I KAMA WEWE NI MTOTO USIBOFYE PICHA HAPO CHINI


PICHA ZA NUSU UTUPU ZA BEYONCE ALIZOPIGA NA MUMEWE ZAVUJA MITANDAONI, TAZAMA HAPA




Uvumi wa kwamba ndoa ya wawili hawa iko mashakani ilizimwa baada ya beyonce kupost picha akiwa nusu mtupu akiwa na Jay-Z mumewe. Tazama picha hapo chini

beyonce1

TUMEAMIA HUKU