Featured Posts

Friday, August 29, 2014

DIVA AZIDI KUMBOMOA ZITO KABWE TAZAMA.SMS ZINGINE HAPA

Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko
vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto
anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna
mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye
akasema nina girlfriend?? baada ya Zitto kumkana
Drama Queen kwamba hatoki naye sasa drama
queen amtolea za uso na kutoa moja ya email
aliotumiwa na zitto mmmh Diva,Diva,Diva huendani
na jina lako jus take a chill n relax, sijui unafanya
comedy,attention seeker but you know better ila
haipendezi punguza Mama:

TUMEAMIA HUKU