Featured Posts

Friday, May 30, 2014

PICHA ZA RAY C AKIWA MTAANI LEO, KUHAMASISHA MATEJA KUACHA UNGA, ZICHEKI HAPA

Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!
nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....
nimefurahisana kuskia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......
Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......


TUMEAMIA HUKU