Featured Posts

Sunday, August 31, 2014

NIFANYE NINI ILI WANAUME WAAMINI KUWA MPODODO WANGU SIO WA MCHINA?

Habari za leo Admin, Mimi ni mwanamke mwenye
umri wamiaka 28, kiufupi nimejaaliwa na Muumba
kuwa na makalio makubwa, sasa tatizo langu ni
kila Boyfriend niliekuwanae anadai eti makalio
yangu yametokana na dawa za kichina kitu
ambacho sio kweli..hii kitu imekua ikinikela sana
kwani hata baadhi ya wakaka na wadada mtaani
wanasema nimetumia madawa ili kukuza makalio
yangu..sasa naomba ushauri wenu wadaui
nifanyaje ili watu waelewe na mimi niwe
huru..kwani nakosa raha kabisa…..picha yangu hii
hapa.

TUMEAMIA HUKU