Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, July 31, 2014

DIAMOND, ADAI HATOOA KAMWE, UNAAMBIWA NI SHARTI LA KUTOSHUKA KIMZIKI

Kutoka moyoni? Wakati bimkubwa Wema Isaac Sepetu akijiaminisha na kuhisi kuwa amepata mume ambaye ni baba bora, mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kamwe hafikirii kuoa, Ijumaa lina cha kukuhabarisha.
Wema Isaac Sepetu akiwa kwenye pozi la kimahaba na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
Kauli hiyo ya Diamond inakuja wiki kadhaa baada ya Wema kuonekana na pete ya ndoa kidoleni kisha kukiri kuvishwa na ‘kichaa’ huyo wa Bongo Fleva ambaye amerejea kutoka Marekani alikotwaa Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki zilizokwenda kwa jina la African Muzik Magazine (AFRIMMA) 2014.
Hofu ya kuoa
Akizungumza na gazeti hili kwenye mahojiano maalum, Diamond alisema kuwa anahofia kuoa kwa madai kwamba akifanya hivyo anaweza kuanguka kimuziki kitu ambacho hataki kimtokee maishani mwake.
Kumbe!
Jamaa huyo ambaye siku hizi anajiita Dangote (jina la tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote) alitiririka kuwa zamani alikuwa na wazo hilo la kuoa lakini akiwatazama wanamuziki wenzake waliooa mwisho wa siku, makali yao hupungua na wengine kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki.
Bofya hapa kumsikia Diamond
“Unajua unaweza kuona kama vile nazungumza kitu cha utani lakini ndiyo ukweli wenyewe.
“Kuna wanamuziki wengi walikuwa kwenye peak (kileleni) lakini walipooa tu ‘kiki’ yao ilishuka ghafla katika muziki na wengine wamepotea kabisa.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’.
“Ukifuatilia kwa umakini wapo mastaa wengi duniani ambao umri umekwenda sana lakini hawajaoa. Hata hapa nyumbani kuna mifano hai. Nadhani hofu yao ni kuona kuwa wakifanya hivyo watashuka kimuziki,” alisema Diamond.
Ni kweli kamvisha pete Wema?
Alipoulizwa kama ni kweli amemvisha pete ya uchumba Wema, msanii huyo hakuwa tayari kufafanua kwa kigezo kwamba pete ni urembo kama urembo mwingine kwa mwanamke.
Nje ya boksi
Baada ya kusikia msimamo wa Diamond, gazeti hili lilijiongeza na kutoka nje ya boksi ambapo lilizungumza na baadhi ya wasanii waliooa na wasiooa ambapo walieleza mambo mazito.
Jacqueline Wolper
Siri yafichuka
Katika mazungumzo yao kwa sharti la kutochorwa gazetini, wasanii hao walidai kwamba Diamond anahofia kupoteza kiki kwa warembo ambao wengi ndiyo mashabiki wake wanaoamini nao wanaweza kupata zali la kuolewa naye ndiyo maana humzingira na kumuomba namba ya simu kila anakokwenda.
Msururu wa mademu
Ilielezwa kwamba kwa kuwa jamaa huyo hupenda kuwa juu ndiyo maana alisharipotiwa kutoka na msururu wa wanawake mastaa ambao huchangia jina lake kuendelea kuwa juu.
Ilidaiwa kwamba wakati anatafuta namna ya kuchomoka kimuziki alidaiwa kutoka kimapenzi na warembo waliokuwa na majina madogo kama Rehema Fabian aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Miss Kiswahili.
Jokate Mwegelo.
Ilisemekana kwamba baada ya hapo alidaiwa kuwa na msururu wa wanawake mastaa kama waigizaji Jacqueline Wolper Massawe na Aunt Ezekiel Grayson na Jokate Mwegelo.
Baadaye jamaa huyo alidaiwa kuruka na wasichana ambao hawakuwa na kiki hivyo aliwamwaga ndani ya muda mfupi kama Najma na Natasha.
Baadaye Diamond alitua kwa Wema hadi akafikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba mwaka 2012 ndani ya Ukumbi wa New Maisha uliopo Masaki jijini Dar.
Kumbukumbu zinaonesha kwamba muda mfupi baada ya kumvisha Wema pete ya uchumba walimwagana ambapo Diamond alitua kwa Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’.

Irine Uwoya
Diamond hakudumu na Penny kwa madai kwamba mrembo huyo hakuwa na kiki kama ilivyokuwa kwa Wema ambaye jina lake halijawahi kushuka tangu alipovaa Krauni ya Miss Tanzania 2006/07.
Ilisemekana kwamba hata tuzo zilipungua ndipo akampiga Penny chini na kurudi kwa Wema ambaye inasemekana ndiye anayemng’arisha.
Hawa wameoa, je, wameshuka?
Baadhi ya mastaa waliooa ni pamoja na Mohamed Ahmed ‘Z-Anto’, Nurdin Bilal ‘Shetta’, Amini Mwinyimkuu, Lawrence Marima ‘Marlaw’, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ na wengineo.

TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja.
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina.
Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa ndani ya Hospitali ya Palestina ambako Tunda Man alilazwa, kimeeleza kuwa, tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki hii wakati staa huyo akifuturu.
“Alipigiwa na namba f’lani hivi ya ajabuajabu inayoishia na 39 kama mara 30 hivi, hakuipokea maana alishawahi kusikia juu ya namba za ajabu lakini baadaye akaamua kupokea ndipo ghafla akaanguka, akaanza kutokwa damu puani kisha kuzimia kabisa,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Tulimfikisha Hosptali ya Palestina na hali yake ilikuwa mbaya sana lakini kwa jitihada za madaktari na manesi wamemsaidia kwa sasa kidogo anaendelea vizuri.”
Khalid Ramadhan ’Tunda Man’.
Baada ya kupata taarifa hiyo, Ijumaa lilimtafuta Tunda Man ili kutaka kujua undani wa sakata hilo, alipopatikana alifunguka:
“Nakumbuka nilipokea simu yenye namba nisizozifahamu ambayo iliita sana nikajishtukia kuipokea lakini baadaye nikahisi ni kama namba za nje ya nchi labda ni dili la kwenda kufanya shoo, nilivyopokea tu sikuwa nasikia mtu akiongea zaidi ya kusikia mtu kama vile anapuliza kitu.
“Baada ya hapo nikajiona naishiwa nguvu, damu zikinitoka puani na mdomoni kisha nikajikuta nipo Hospitali ya Palestina,” alisema Tunda Man.

SEKESEKE LA IDD BINTI ANASWA CHOCHORO NA JAMAA , AMWAGIWA MAJI YA MOTO

HILI kweli ni sekeseke la Idd el Fitr. Wakati changudoa mmoja akinaswa na kumwagiwa maji na wananchi waliochoshwa na vitendo vya ukahaba vinavyofanywa jirani na makazi yao, msichana mwingine aliokotwa akiwa amelewa chakari na kudhaniwa kuwa na mapepo, maeneo ya Sinza Afrikasana jijini Dar Jumanne hii.
changudoa anaswa na njemba na kumwagiwa maji ya moto.
Katika tukio la kwanza lililotokea Idd Mosi, wakazi wa maeneo ya Afrikasana, waliamua kuweka mtego na kumnasa changudoa aliyekutwa na mteja wake wakimaliza haja zao uchochoroni, wakiwa wametandika boksi chini.
“Yaani tumechoshwa na hawa machangudoa, inafikia hatua tunashindwa kulala kwa sababu ya miguno yao ya kimapenzi, hata watoto wanashtuka usingizini kwa sababu ya mambo hayo, ni hatari kwani wanaweza kujifunza ufuska, tumeamua kuwanasa leo jamani na itakuwa fundisho kwao,” alilalamika mmoja wa majirani hao.
Huku timu ya Operesheni Fichuo Maovu (OFM) ya Global Publishers ikiwa ‘beneti’ na majirani hao, ilishuhudia wawili hao wakikamatwa na kupewa adhabu ya kulowanishwa kwa maji ya moto ambapo nguo zao zililoa chapachapa.
Wakati changudoa huyo akipewa adhabu hiyo ili liwe fundisho kwa wenzake wanaokesha pembezoni mwa barabara ya Shekilango, msichana mwingine anayedhaniwa kuwa alilewa kupita kiasi, alikutwa akiwa amezungukwa na watu nje ya baa maarufu ya Corner.Changudoa huyo akijuta baada ya tukio hilo.
Kundi kubwa la watu lilimzunguka mwanamke huyo kutokana na vitendo vyake kuashiria alikuwa amelewa bwii, wengine wakiamini alikuwa na mapepo hivyo kutaka kujua namna ya kumsaidia.
“Huyu dada jamani itakuwa majini yake tu yanamsumbua, si unajua watu wengine majini yao hayapendezwi na ulevi uliozidi kiwango, maana mtu mwenyewe haeleweki, tukimshika kumsaidia anataka kuturukia sasa sijui tufanyaje,” alisikika kijana mmoja akisema.
Hata hivyo, baadhi ya vijana waliokuwa eneo hilo walionekana kupanga mbinu za kumchukuwa msichana huyo na kwenda kumfanyizia, kitu kilichoshtukiwa na mabaunsa wa baa hiyo ambao walimpandisha kwenye Bajaj na kumkimbiza Kituo cha Polisi Mabatini ambako baada ya askari kuwasikiliza, walishauri apelekwe hospitalini.Binti anusurika kubakwa baada ya kulewa chakali.
Alipelekwa Hospitali ya Palestina ambako baada ya kupimwa, alionekana kunywa pombe kali kupindukia, hivyo kuwekewa dripu.
IMEANDALIWA NA: Chande Abdallah, Gladness Mallya, Shani Ramadhan, Mayasa Mariwata, Deogratius Mongela na Denis Mtima.

NJEMBA KIBAO ZAPIGANIA KUMWOA MWANADADA JOKATE

Stori: Mwandishi wetu
Baada ya hivi karibuni mwanamitindo Jokate Mwegelo kutangaza kutafuta mchumba, idadi kubwa ya wanaume wamekuwa wakihaha kusaka mawasiliano naye huku kila mmoja akijinadi kivyake.
Mwanamitindo Jokate Mwegelo.
Mara baada ya habari ya Jokate ya kutafuta mchumba kutoka kwenye gazeti hili wiki iliyopita, namba ya simu ya chumba chetu cha habari imekuwa bize kupokea simu za wanaume mbalimbali wakiomba kuunganishwa na mrembo huyo.
Hata hivyo, jitihada za kumuunganisha mmoja mmoja kwa mrembo huyo hazikufanyika ila kwa yoyote anayehisi ana vigezo na ana nia ya dhati ya kumuoa na si kumchezea afike katika ofisi zetu nasi tutamuelekeza njia sahihi ya kumpata.

BAADA YA MWEZI MTUKUFU, MASTAA WARUDI KWENYE VIVAZI VYAO VYA KUWAUMIZA WANAUME

Ndani ya mwezi mtukufu mastaa wengi walionekana kuvaa kiheshima huku wakijisitiri sehemu zao nyeti lakini cha ajabu mara baada ya mfungo, baadhi wamerejea mavazi yao ya kimitego.
Video queen Agnes Masogange akipozi.
Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa mara baada ya Sikukuu ya Idd kupita umebaini baadhi wamerejea kwenye mavazi yao ya kihasara, mazingira yanayoashiria kuwa, walihamia kwenye mavazi ya kiheshima kinafiki.
Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’.
Akizungumza na Ijumaa baada ya kumuona Wema Sepetu kwenye Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere akiwa amevaa taiti nyekundu iliyobana makalio yake, mdau mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:
Staa wa Filamu Bongo, Wema Sepetu akipozi na Ommy Dimpoz.
“Dah! Mwezi umeisha sasa tutakoma kwa mavazi ya kihasara, Wema alikuwa akijisiri sana ndani ya mwezi mtukufu lakini alivyovaa leo, daah.”

PICHA JINSI CHAMELEON ALIVYOTUA DAR NA KUPOKELEWA

SUGAR MUMMY ADHALILISHWA BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBWAZA NA SERENGETI BOY WAKE!!! INGIA HAPA

Huyu Mama ni mtu mwenye hela zake ....anajihusisha na BIZINESI mbalimbali..sasa kama unavyojua tena Mambo ya wamama wa mjini!!! akawa na mahusiano ya kimapenzi na kijana ambae kimsingi walikutana kwenye maswala ya Biashara...sasa baadaya ya penzi kukolea...

TAZAMA MAKALIO YA KIM KARDASHIAN YALIVYOWAPAGAWISHA WANAUME MITAANI





SOMA HAPA KUJUA MWANAMKE NA MWANAUME NANI ANAPENDA KALE KA MCHEZO SANA

KATIKA mapenzi kuna mambo mengi sana ambayo wahusika wanapaswa kuyafanya; leo tujadili suala la faragha. Nazungumzia tendo la ndoa.
Hivi ni nani ambaye anamhitaji mwenzake zaidi ya mwingine? Ni mwanaume au mwanamke? Kati ya wawili hawa ni nani anayetakiwa kuwa wa kwanza kumuanza mwenzake?
Ni mwanaume au mwanamke?
Wenzi wanapokuwa faragha kati yao akijisikia kuingia 'mzigoni' na mwenzake, nani mwenye haki zaidi ya kumweleza mwenzake moja kwa moja? Kiu siku zote inatakiwa kukatwa na si kulimbikizwa hadi mwingine 'mwenye haki' ya kusema 'anataka' amwambie mwenzake.
Mada ipo jikoni, lakini napenda kushea mawazo na wewe kabla ya kuweka mada hapa bloguni. Hebu niambie, unadhani ni nani anamhitaji mwenzake zaidi? Ni nani anapaswa kuwa wa kwanza kuzungumzia suala la tendo la ndoa faragha?

HAWA WASANII PASUA KICHWA, ETI UWOYA NAE AWA TAJIRI GHAFLA BIN VUU, SOMA HAPA





irene+uwoya2

NDOA YA RUTH KOMBA NA MZUNGU WAKE YAINGIA KWENYE MIZENGWE..SOMA ZAIDI

HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta katika wakati mgumu baada ya habari kudai kwamba, mchumba wake huyo amemwambia ili ndoa ifungwe lazima aoneshe cheti cha kipimo cha Ukimwi kwanza.

Staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba akiwa na mchumba wake.
 Chanzo chetu cha habari kikizungumza na Amani juzi, kilisema kwa sasa Lucy anahaha kutafuta cheti feki cha kipimo hicho kwa kwenda hospitali mbalimbali ili anunue kwa gharama yoyote lakini imeshindikana.
“Ukweli Lucy anahaha kutafuta cheti cha Ukimwi, mchumba anasubiri akione vinginevyo hawatafunga ndoa,” kilisema chanzo.

 Ilidaiwa kuwa, mpaka sasa Lucy ameshafika kwenye hospitali tatu kubwa mbili, TMJ na Marie Stopes ili kufanya maarifa lakini imeshindikana.
 Baada ya kupata habari hizo paparazi wetu alimtafuta Lucy ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Si kweli! Hao wanaosema hivyo ni wanafiki, sijui wanataka nini maana kila siku wanazusha mambo ya ajabu. Kwanza mimi huwa sitibiwagi kwenye hospitali hizo ulizozisema, natibiwa Regency.


Lucy Francis Komba.
 “Kuhusu  kupima Ukimwi, mimi na mchumba wangu tulishapima hukohuko kwao Ulaya (Denmark) ndiyo maana tukaanza taratibu za ndoa.
 “Namshangaa sana huyo aliyesema hayo hata kama ni mtu wangu wa karibu, mimi huwa simwelezi mtu mambo yangu binafsi kwa sababu duniani hakuna rafiki wa kweli, rafiki anakuchekea machoni lakini wote ni wabaya,” alisema Lucy.
 Amani lilifika kwenye hospitali hizo lakini kukakosekana ushirikiano kwa madai kwamba, hakuna utaratibu wa kumtaja jina mgonjwa kama alikwenda kutibiwa.

MHUDUMU WA BAA WA KIUME DAR ANASWA AKIMNYONYA MTEJA WAKE MAZIWA LIVE BILA CHENGA

Muhudumu wa kiume wa baa moja maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni alinaswa akifanya ufuska kwa kumnyonya maziwa hadharani mteja wake na kuacha kazi.

Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa pia na wahudumu wa baa hiyo ambapo awali dada huyo alionekana kukolea kilaji kupita kiasi na kukosa stamala na baadaye kujikuta akifanya upuuzi huo.

 
Kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Chambuso alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya meneja wake kufika na kushuhudia tukio hilo kisha kumuamuru kuvua jezi za ofisi kisha kuondoka bila kutoa maelezo.

NOMA SANA JAMAA AFUMWA AKILA URODA NA CHANGUDOA CHOONI BILA WASIWASI,

jamaa huyu amenaswa nadni ya pub moja maarufu mjini jijini mwanza akiwa na kahaba wakiponda raha chooni bila wasiwasi wowote, watu walioshuhudia tukio hilo wamedai jamaa alikuwa akila uroda usiku huo kwani baada ya kufumwa demu alionekana kuvaa nguo yake ya ndani faster, hii tabia ya kuchepuka ni hatari sana jamani ukimwi bdo hupo

SOMA HAPA UJUMBE WA DIAMOND KWENDA KWA MASHABIKI WAKE INAKUHUSU SANA HII

Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo
nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!

VIONGOZI WA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)WATOA TAMKO LA LAO KUHUSU WITO ULIOTOLEWA NA VIONGOZI WA DINI KUWATAKA WAREJEE BUNGENI

Viongozi wakuu wa Umija wa katiba ya wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kutoa Tamko la Ukawa kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni kutoka kulia ni profesa Sfari katibu mkuu wa NCCR mageuzi Mosena Nyambabe ,mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe ,Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba,Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Jaqmes Mbatia na katibu mkuu wa Chadema Wilbrod Slaa , mbunge sakaya na Itatiro wakiwa nje ya makao makuu ya cuf

viongozi wa ukawa kulia ni mwenykiti wa umoja wa katiba ya wananchi ukawa profes Ibrahim Lipumba na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowewakitoka katika ofisi kuu ya cuf wakielekea katika chumba cha mkutano tayari kuongea na wandishi wa habari kuhusu tamko lao kuhusu viongozi wa dini kuwataka warejee bungeni

Mwenyekiti wa Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katika)akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habar kutoa Tamko kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni kushoto ni mwenyekiti awa Chadema Freeman Mbowe na kulia ni Mwenyeti wa NCCR mageuzi James Mbatia

RAY NA CHIKI WAZIDI KUTIFUANA, SOMA HAPA UNDANI WA BIFU LAO HAPA

BAADA ya kuibuka sintofahamu kati ya waigizaji wa Bongo Movies, Salum Mchoma ‘Chiki’ na Vincent Kigosi ‘Ray’, Chiki ameibuka na kuzungumzia ishu hiyo.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’,
Akipiga stori mbili tatu na paparazi wetu, Chiki alisema kuwa yeye na Ray hawakuwahi kuwa na bifu kama inavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii isipokuwa walipishana kauli kidogo katika bethidei ya muigizaji Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ iliyofanyika katika Hoteli ya Lamada, Ilala jijini Dar lakini waliyamaliza.
“Sina bifu na Ray tuko poa, pale Lamada tulipishana maneno kidogo tu ila kwa sasa stori kama kawa hatuna bifu la aina yoyote,” alisema Chiki.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo Salum Mchoma ‘Chiki’.
Kwenye bethidei hiyo, ilidaiwa kuwa Chiki aliyekuwa MC wa shughuli hiyo alimpa maneno ya ‘madongo’ kumsisitiza atoe mkwanja ‘fedha’ nyingi kama zawadi kwa Dk. Cheni hali ambayo ilimuudhi Ray.
Imeandikwa na Maria Halimoja na Rhoda Josiah.

TAZAMA HILI JIMAMA UNAAMBIWA BILA SUPU YA PWEZA UTASUBIRI SANA KULIFANYA LIPIGE KELELE

hili jimama dah tazma linavyojitutumua na kuonyesha body lake live bila chenga na linadai bila mtu kunywa supu ya pweza huwezi kulifanya lolote,

AIBUU...NGUO FUPI ZAMUUMBUA DADA HUYU NA KUJIKUTA KUACHIA UTAMU WOTE NJE, TAZAMA HAPA

WAKUBWA TU TU:MREMBO AVUJISHA PICHA ZA UTAMU WAKE AKIWA ANAOGA BAFUNI..NI SHIIIDAH

Laana hii picha kama hizi wadada haziwezi kukupa umaarufu bali ni aibu kwa jamii.Bofya happo chini kuziangalia ila sharti uwe

MASKINI ROSE MUHANDO, AFANYIWA KITU INAUMA NA WAHUNI, MWENYEWE AJUTA, SOMA HAPA


MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka Jumapili.
Taarifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa Muhando jana, ilieleza kuwa albamu yake halisi bado haijaingia mtaani na kwamba hiyo wanayoiona wananchi sasa ni bandia na mtu atakayewauzia wamripoti polisi. 
“Albamu ya Kamata Pindo la Yesu itaanza kuingia mtaani baada ya uzinduzi wangu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jumapili wiki hii. Albamu yangu ina nembo ya TRA (Mamlaka ya Kodi ya Mapato nchini). 
 
“Hizi CD zinazouzwa hivi sasa si zangu, hao ni matapeli na nawaomba wananchi tushirikiane kudhibiti wizi. Hao ni maharamia wa kazi za wasanii wanataka kunyonyajasho langu, naomba sana wananchi mnisaidie. 
 
“Nasisitiza albamu yangu sijaiachia sokoni bado mpaka uzinduzi ukamilike, Watanzania wenzangu na mashabiki wangu kote duniani mnielewe na naomba tusaidiane katika hili maana CD feki zimezagaa,” alisema Muhando na kuongez akuwa tayari ameripoti taarifa hiyo kwa vyombo vya dola. 
 
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions inayoratibu uzinduzi huo, Alex msama naye katika taarifa hiyo ya pamoja alionya wote watakaobanika kuwa CD za albamu ya Rose Muhando watakumbana na mkono wa sheria. 
 
“Inasikitisha sana kuona baadhi ya watu wanataka kutumia jasho la wengine kujinufaisha. Watanzania kuweni macho, msubiri albamu yenyewe ya Rose Muhando Jumapili pale ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam,” alisema Msama. 
 
Albamu hiyo ya Muhando itakayozinduliwa Jumapili ina nyimbo za Bwana Niongoze, Wewe Waweza, Usiniache, Nibariki, Muongo, Kwema, Kamata Pindo la Yesu na Facebook. 
 
Hivi sasa Rose anatamba na albamu yake ya Utamu wa Yesu, ambapo pia amewahi kutamba na albamu za Uwe Macho, Nyota ya Ajabu (Zawadi ya Krismasi), Jipange Sawasawa, Kitimutimu, Mungu Anacheka na Wololo.

Wednesday, July 30, 2014

BALAA LA CLUB ZA USIKU WAKATI WA SIKUKUU...NI HATARI TUPU AISEEE...MZAZI KAA CHONJO...!

WEMA NDANI YA BIFU ZITO NA MAMA YAKE, MWENYEWE AFUNGUKA HIVI, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Na Waandishi Wetu
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Akipiga stori na mapaparazi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini anamshukuru Mungu amemuelewa na sasa kila kitu kinakwenda sawa.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akiwa na mama yake.
“Mama nilikuwa nikimsihi sana juu ya uchumba wangu na Diamond lakini sasa tumefikia hatua nzuri namshukuru Mungu amekubali, maana siku hizi nikionana naye ananiuliza vipi mwenzako mzima, anaendeleaje, wakati mwanzoni haikuwa hivyo,” alisema Wema huku akiahidi kumkutanisha Diamond na mama yake. Imeandikwa na Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani

CHEKIBUDI ADAIWA KUDHULUMU

STAA wa sinema za Kibongo, Nurdin Mohammed ‘Chekibudi’ amejikuta ameingia kwenye bifu kali na mwigizaji Helen Luanda ‘Zerishi’ baada ya mwanadada huyo kumtuhumu kuwa amemdhulumu kazi yake ya filamu.Staa wa sinema za Kibongo, Nurdin Mohammed ‘Chekibudi’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Zerishi alisema aliamua kumshirikisha Chekibudi kwenye kazi yake na kukubaliana naye ampelekee filamu yake sokoni na kumlipa shilingi milioni nne baada ya filamu hiyo kuuzwa lakini kaingia mitini.
Alipotafutwa Chekibudi kuhusiana na madai hayo alikana kumdhulumu na kusema vitu vyote anavyo Zerishi isipokuwa demo anayo yeye.

MUME AMPIGA MKEWE AKISWALI NA KUMJERUI VIBAYA

TUHUMA nzito ya aina yake ambayo haijawahi kutokea ambapo mkazi mmoja wa Tandale – Kwatumbo wilayani Kinondoni jijini, Idd Mpenda anadaiwa kumshambulia na kumjeruhi hadi kuzimia mkewe, Nasra Dafa (30) wakati akiswali.
Bi. Nasra Dafa (30) aliyeshambuliwa na mume wake wakati akiswali.
Akizungumza na Amani huku akimwaga machozi, mwanamke huyo alisema tukio hilo lilijiri Julai 28, mwaka huu saa saba mchana wakati akiswali maeneo ya duka lake lililopo Tandale.
ILIKUWA KUSHTUKIZA
Alidai kwamba alikuwa katika kusujudu,  mara mumewe alitokea na kumshambulia kwa mateke, ngumi na viatu kisha akamburuza chini hadi nje hali iliyosababisha nguo aliyovaa kuvuka na kubaki kama alivyozaliwa!“Kama unavyoniona, nimeumia sehemu mbalimbali za mwili. Kiatu ndiyo kimeniumiza sana.
Majeraha ya mguuni aliyopata Bi. Nasra Dafa.
ATINGA KITUO CHA POLISI
Alisema baada ya tukio hilo kutokea  alijivuta na kuvaa gauni lingine kisha akakimbilia Kituo Kidogo cha Polisi Tandale ambapo polisi walimwambia ishu yake ni nzito na kumtaka aende Kituo cha Polisi Magomeni (vyote vipo Dar).
ASIMULIA VIPIGO, UKE WENZA
Mwanamke huyo aliweka hadharani kwamba mumewe amekuwa akimpiga mara kwa mara na tatizo kubwa ni uke wenza ambapo alidai ameoa mke wa pili hivi karibuni na mapenzi baina yao yamezorota.
“Mimi kabla ya kufunga naye ndoa Januari Mosi, 2013 mume wangu alikuwa na mke mwingine lakini aliamua kumpa talaka baada ya kumweleza kuwa mimi sitaki kuwa mke mwenza.
“Tukawa tunaishi naye lakini hata hivyo hakuchukua muda mgogoro ukaanza ndani ya nyumba.
Picha hii ikionyesha majeraha ya mkononi na shingoni aliyopata Bi. Nasra Dafa.
SAKATA LAFIKA KWA NDUGU
Mwanamke huyo aliendelea kusema kwamba hali ilizidi kuwa mbaya hadi ikafika kwa wana ndugu kwa suluhu, walipatanishwa lakini baada ya muda mgogoro ukaendelea na kuna siku mumewe akamwambia ameoa mke mwingine wiki tatu nyuma.
SIKU YA TUKIO
“Siku ya tukio, nilikuwa naswali. Unajua wakati wa Mfungo wa Ramadhani lazima Muislam kuswali kwa kuzingatia taratibu zote za dini. Basi, alikuja na kuniita nitoke nje lakini sikutoka.“Niliona nimalize kwanza kuswali  ndipo nitoke, lakini kabla sijamaliza akaja na kunishambulia kama niliovyokwambia kisha akachukua funguo na kufunga duka.
“Alipotoka hapo akaenda kwenye duka lingine la kuuza vocha nalo akalifunga na kuchukua fedha zote na kuondoka nazo huku muuzaji akiambiwa aende kwake,” alisema mwanamke huyo.
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum akifafanua jambo.
Amani lilifika kwenye Kituo cha Polisi Magomeni na kuambiwa na askari mmoja kuwa taarifa hizo zipo na mtuhumiwa anashikiliwa hapo, lakini akashauri atafutwe Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, ACP Camilius Wambura kwa maelezo zaidi. Kamanda huyo hakupatikana ofisini kwake hadi tunakwenda mtamboni.
SHEHE MKUU ASAKWA
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum hakupatikana kuzungumzia makosa ya mume wa Kiislamu kumpiga mkewe wakati akiswali ndani ya Mwezi Mtukufu.Hata hivyo,  Maalim Hassan Yahya Hussein wa Magomeni Mwembechai alipoulizwa alisema  Uislamu haujatoa ruhusa kwa mwanaume kumpiga mkewe wakati anaswali hata kama amefanya kosa kubwa kiasi gani.
“Uislamu haujaruhusu kwa hali yoyote udhalilishaji na kuna hadithi zinazokataza mtu kumdhuru mwenzake. Kuna masharti sita yamewekwa kabla ya mume kufikia hatua ya kumwadabisha mkewe,” alisema Maalim Hassan.Akaendelea: “Kabla mume hajampa adhabu mke anapaswa kwanza kumpa nasaha kwa kosa alilotenda na sharti la pili ni kumpa mawaidha ama yeye mwenyewe au atafute mtu.
“Sharti la tatu ni kumkumbusha mara kwa mara na  sharti la nne ni kumhama malazi, yaani kumuacha alale peke yake. Sharti la tano, akikosa ni kwenda kushitaki kwa wazee au katika vyombo vya sheria ikiwemo kwa kadhi na viongozi wa dini.“Sita ndiyo kumpiga, lakini kipigo ambacho hakitamdhuru kwani hutakiwi kumpiga ukiwa na hasira.”

TUMEAMIA HUKU