Featured Posts

Friday, August 29, 2014

KIGOGO WA TBS ATUPWA JELA MIAKA MITATU

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka
mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Kwa
Matumizi Mabaya ya Cheo chake na
Kusababishia Serekali Hasara ya Mamilioni.
My Take: Naona kama Kifungo Kidogo Sana
Hicho , Nahuhakika Huko Jela Kuna watu
wamefungwa Miaka Kadhaa kwa Kesi za Kuku
Tu ila Huyo Mamilioni ya Hela Anafungwa
Mwaka....Je wewe Unalionaje Hilo?

TUMEAMIA HUKU