Featured Posts

Friday, August 8, 2014

TAZAMA PICHA PETIT MAN NA DADA AKE DIAMOND WAZIDI KUFANYAMAKUBWA



Siku za hivi karibuni kumekua na tetesi za chini kwa chini kuwa dada yake msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa kampuni anayomiliki Msanii Wema Sepetu ijulikanyo kama Endless Fame Production,Petitman maarufu kama Petitman Wakuache sasa leo hii imebainika wazi kua wawili hao ni kuna kitu

TUMEAMIA HUKU