Featured Posts

Monday, August 4, 2014

TAARIFA KUHUSU MREMBO AGNES MASOGANGE KUBADILI URAIA, JUA UKWELI WOTE HAPA


Kama mnavyojua  kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..
Dada yetu Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini 
 

Afrika Kusini..Ambako kimsingi alipata bwana wa kuishinaye huko.



ni kweli basi Masogange sio

mtanzania mwenzetu tena...Baadhi ya watu waliocomment 
 

kumsifia ameonesha kuwajibu kwa furaha zaidi

TUMEAMIA HUKU