...Nimeshakuwa mwalimu.....!!!! #kihomehome #fitness #mdogomdogo''Wengi wa fans wake wame comment picha hiyo kwa kumpa
pongezi jinsi anavyo tengeneza mwili wake usiwe manyama
uzembe nakupoteza mvuto kama baadhi ya wasanii wa
muziki na filamu za hapa Bongo.






