Featured Posts

Friday, August 8, 2014

NATURE APIGA SHOO YA NGUVU TAIFA PICHA ZOTE ZIKO HAPA

Mwanamuziki Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi wakifanya yao ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 Uwanja wa Taifa.
Nature akiwadatisha mashabiki wake.
Nature na kundi lake la Wanaume Halisi wakifanya vitu vyao.

TUMEAMIA HUKU