Unaweza kusema kuwa huyu ndio msani mwenye maoni tofauti kabisa na mtazamo wa kipekee kuhusianautata unaoendelea wa ndo ya watu hawa maarufu duniani, Beyonce na Jay-z, huku ikisemekana kuwa wawili hao bado hawako teyari kuongelea ishu zao kwenye vyombo vya habari, na wakati huo huo kila mtu akiwa anasema ya kwake bila hata kujua ni nini haswa kinachojiri ndani ya ndoa yao, Akon amefunguk na kuwachana live wawili hao.






