Featured Posts

Saturday, August 16, 2014

FIESTA BUKOBA NOMA, DJ FETTY BALAA, RECHO APANDA NA KICHUPI, JUX ASHOBOKEWA, SAIDA KALOLI MMMH, TAZAMA ZOTE HAPA


MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Bukoba.

Rachel akiendelea kutoa burudani.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Bukoba.
DJ Fetty akifanya yake.
Msanii wa muziki wa asili Saida Karoli akiwanyanyua mashabiki wake.

Mtoto wa Saida Kaloli akicheza ngoma.
Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.

TUMEAMIA HUKU