Featured Posts

Friday, August 8, 2014

DUNIA INAKWENDA WAP?!!TAZAMA DOCUMENTARY YA MASHOGA WANAOJIITA GULLY QUEENS CHEKI HAPA

Siku tatu zilizo pita kituo cha Television cha VICE News documentary wamerusha documnaty ya kikundi cha vijana waishio mji wa Kingston .Jamaica.
Nnchini Jamaica, kuvamiwa, kubabwa,kuuwawa ni vitu vya kawaida kwa MASHOGA...Kutokana na hali hiyo wanaisha mashashaka na wapo chimbo wamejificha ....hebu cheki baadhi ya picha za LAIFU STAILI yao...





Mungu atusamehe....asituangamize kwa maji au moto!!!

TUMEAMIA HUKU