Featured Posts

Friday, June 6, 2014

MTAZAME VANESSA MDEE AKIFANYA MAHIJIANO NA MSANII MKUBWA TREY SONGZ MTV BASE

Huku mnyamwezi trey songz akiwa ameshadondoka nchini Afrika kusini tayari kabisa kuwasha moto katika jiji la Durban, queen of RnB hapa Bongo na mtangazaji wa kituo cha MTV Base , Vanessa Mdee amefanya mahujiano hii leo na Trey Songz na muda ujao yataanza kuonekana kupitia kituo hicho cha televisheni…



Vanessa-Mdee-na-Trey-Songz

TUMEAMIA HUKU