Featured Posts

Monday, June 30, 2014

MKE WANGU ANANILAZIMISHA NIOE MKE WA PILI, KISA NATAKA GAME KILA SIKU....JE NI SAHIHI JAMANI...??




Habari wadau kunadada mmoja, jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya 
kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee kwenye mapenzi.

Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili. Hebu tuambizane anacho fanya uyu dada ni sahihi...??

TUMEAMIA HUKU