Featured Posts

Monday, June 30, 2014

PICHA ZA MASTAA WA KIKE BONG WALIVYOJITUPIA KATIKA KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI,

shishi baby 

DIVA AKIWA  KATIKA POZI



JOHARI AKITABASAMU

inapendeza sana kwa mastaa wa bongo kuwa mfano wa kuigwa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu,  katika pitapita zatu leo tumenasa baadhi ya picha za mastaa wa bongo movie na mziki wa kizazi kipya jinsi walivojitupia mavazi ya heshima bila kujali tofauti ya dini zao kwani wale ambao si waislam wameonekana kuwapa kampani wenzao waliofunga hizi ni baadhi tu ya picha tulizozipata
baba jonii akiwa na dj fetty


TUMEAMIA HUKU