Featured Posts

Saturday, June 28, 2014

ONA HII, MASANJA MKANDAMIZAJI AKIMUOMBEA ADAMU MCHOVU NJE YA OFISI ZA CLOUDS..

Inaweza kuwa ni ajabu sana kwako kuona mchekeshaji huyu mwenye bwembwe na vituko vingi kumuwekea mikono Adam mchovu na kumuombea serious, wakati mwingine mpaka leo watu hawaamini kwamba masanja
ameokoka na yupo serious na anachokifanya. wakati mwingine watu hucheka sana kusikia masanja akijiita Pastor to be, au mchungaji mtarajiwa, wengi bado kwao ni kama uigizaji. lakini the truth is masanja yupo serious kabisa hata kama huamini anachokifanya. 

TUMEAMIA HUKU