Featured Posts

Friday, June 27, 2014

BAADA YA DIAMOND SASA SHETA NAE ATOA BONGE LAVIDEO, PICHA ZAKE ZIKO HAPA TAZAMA MWENYEWE

10431801_785164331518152_940917358_n

Unambiwa ukipata nafasi moja tu itumie vizuri, hivi ndivyo Shetta anavyokuja kwenye kioo chako, ni Kerewa in the making, hii ndio baadhi ya picha tu za video mpya ya kerewa itakavyokuwa, iliyofanyika huko nchini Afrika ya kusini, Ukitaka kujua watu wamepania kufunikana mwaka huu, hii inasemekana kuja kuwa bonge la video, itakayosumbua media nyingi na hatimaye kuweza kuingia hata katika ligi ya video za kimataifa, tukae mkao wa kula kuiona video hii inayotarajiwa kudondoshwa soon.
10499151_1494811280752764_454790046_n

TUMEAMIA HUKU