Featured Posts

Friday, June 27, 2014

HII HAIJAWAHI KUTOKEA, TAZAMA PICHA ZA LULU KWENYE RED CAPET YA TUZO ZA WATU USIKU HUU!


Bila kutarajia Lulu ameingia ndani ya Red cappet ya tuzo za watu akiwa ametokelezea mbaya, akiwaacha midomo wazi makamera man waliokuwa akifyatua picha hapo. yaani utazani Beyonce kaingia kupokea tuzo. sijui mpenzi wa Blog hii unampa maksi ngapi?

TUMEAMIA HUKU