Featured Posts

Friday, June 6, 2014

HIZI JELA ZA WENZETU BALAA KWELI CHEKI ALIVYO KUA BONGE BAADA YA KUSOTA JELA KWA MDA, PICHA ZA PARTY ZIKO HAPA

Picha za kwanza tokea Chris Brown atoke Jela zimetoka na kama wengi mlivyotegemea mtu akitoka jela za bongo anakua amekonda basi jiulize tena coz jamaa katoka jela huku akiwa ameongezeka unene hadi mtu unaweza kumuita kibonge. Birthday yake ya kusherekea miaka 25  ilikua tarehe 5 mwezi wa tano lakini sababu alikua yupo jela wakaamua kuiunganisha na sherehe ya kukaribishwa  nyumbani .
Chris-Brown-1
Huku akiwa amevalia nguo za kijeshi  ambazo kibongobongo lazima wakukamate ni wazi Chris alikua ameongezeka uzito lakini akiwa mwenye afya nzuri. Inaelekea maisha ya jela yalikua mazuri sana kwa Chris.Kilichobaki kwa chris sasa ni kutoa ring yake puani na kuanza kuachia ngoma kali.
Chris-Brown-katoka-jela-sherehe
Chris Brown aliachiwa tarehe 2 mwezi wa 6 baada ya kukaa jela kwa siku 59. Kwenye Sherehe hiyo kulikua na mama yake, girlfriend wake Karrauche Tran, Tyga, T-Pain na bikini  models wa kutosha.
Chris-Brown-katoka-jela-sherehe-2
Chris-Brown-katoka-jela-sherehe-3
Chris-Brown-katoka-jela-sherehe-4
Chris-Brown-katoka-jela-sherehe-5
Chris-Brown-katoka-jela-sherehe-6
Chris-Brown-katoka-jela-sherehe-7
hivi ndio alikua kabla hajaenda jela…


Chris-Brown-22

TUMEAMIA HUKU