Featured Posts

Sunday, June 29, 2014

SMAHANI KWA PICHA, ANGALIA PICHA ZA WAASI WA ALSHABABI WALIO UWAWA NCHINI KENYA KABLA YA KUTEGA BOMU

Photos of Al Shabaabs shot dead in Nairobi when they tried to Plant a Bomb

Katika siku za hivi karibuni nchini Kenya kumekuwa kukiripotiwa matukio ya mabomu yakihusishwa na kikundi cha ujangili cha Alshababi kulipua mabomu katika miji mbalimbali ya nchini kenya.

Hivi karibuni polisi wa nchini kenya wamefanikiwa kuwa uwa watu wawili (pichani) wanasadikiwa kuwa walitumwa na kikundi hicho kuja kupandikiza bomu katika moja ya miji ya nchini kenya lakin zoezi hilo halikufanikiwa kwakuwa raia wema waliweza kuripoti polisi na kufanikiwa kuwa piga risasi kabla ya kutega bomu hilo.

TUMEAMIA HUKU