Featured Posts

Friday, June 27, 2014

MIMI NAGAWA KWA WANAUME MAARUFU TU HAPA MJINI, WALIOKUWA MAKUPUKU WALA SINA HABARI NAO


Hii kitu imenitokea sana mara nyingi Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii Nawezaje kuondokana na hili tatizo

TUMEAMIA HUKU