Featured Posts

Sunday, June 29, 2014

LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA,..HIKI NDICHO ALICHOFANYA.

Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele zikisema yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti wakililia wimbo wa yahaya. 

Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe hakulitegemea.
Jaydee alifunguka nakusema “Tangu naanza kuimba wimbo wa kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?

TUMEAMIA HUKU