Featured Posts

Friday, June 27, 2014

HATIMAYE DIAMOND AWEKA WAZI MALENGO YAKE NJUU WA WEMA SEPETU

4X7A9552

Kama ulikuwa unadhani kuwa Diamond alikuwa amemsahau baby wake katika suala zima la kutoka ki-international zaidi, subiri sana. Diamond ameweka wazi nia yake ya kumtoa ki-movie Wema sepetu na teyari ameshaweka mambo sawa kwa wadau wa secta ya filamu huko nchini Ghana. Diamond alizidi kufunguka kuhusiana na plan yake na kusema kuwa ameshaongea na mdau fulani hivi aliyeko huko Ghana aliyetajwa kwa jina moja la Frank, ambaye ndiye anayeandaa tuzo nyingi huko nchini ghana na ana-connection za kila kona kwenye sekta za filamu, na kumuelezea kuhusiana na kazi za mpenzi wake huyo, kama njia ya kumpa shavu ili aweze kufanya mambo kwa next level zaidi.
Screen Shot 2014-02-08 at 16.21
Mbali na mdau huyo pia Diamond amefunguka na kusema kuwa ameshaongea na baadhi ya wacheza filamu maarufu kama wakina Van Vicker na wengine kibao wanaoshikilia masoko makubwa ya filamu nchini Ghana na Nigeria na teyari process zakufanya mipango zinaendelea na soon kutarajia kazi za Wema zikienda kimataifa zaidi kama ilivyo kwake Diamond Platnumz hivi sasa.


Diamond-Platnumz-3-Kilimanjaro-Music-Awards-2014

TUMEAMIA HUKU