Featured Posts

Monday, June 30, 2014

USHAURI: TOKA NIMSIFIE KUWA YEYE NI MZURI, NA ANA SHEPU. IMESHAKUWA KERO..!!

theclicktz.com/
Hakuna mtu asiyependa sifa, ila mwenzangu kuna watu wengine ukiwa sifia ujue ndio umeshaharibu, anakuwa na nyodo, mapozi mpaka anauzi. Nilikuta na binti mmoja nikaona labda nikitumia kigezo cha kumsifia labda inaweza kunipa point, hee kumbe ndio nimeharibu ni full mapozi, swaga kibao mpaka anaboa.

TUMEAMIA HUKU