Featured Posts

Monday, June 30, 2014

TAZAMA PICHA JINSI DIAMOND ALIVYOSALIMIANA NA STAA HUYU WA RNB, SI MWINGINE NI NELLY

pamoja na kukosa tuzo za BET hapo jana usiku diamond amefunguka kistaharabu sana kuonyesha kuridhishwa kwake na matokeo na kuwahakikishia mashabiki wake na watanzania kwa ujumla kwamba mapambano yanaendelea, so watu wakae mkao wa kula kuna kazi kibao ambazo zinakuja ambazo hakika mwakani katika tuzo hizo uenda wakakaa wakina davido,  hii leo tunakuletea exclusive picha ambayo diamond alikua akiteta jambo na mkongwe wa rnb NYC si mwingine ni Nelly,  kwa kuangalia picha hii kiukaribu kabisa inaonyesha jinsi gani diomond amekubalika na mkali huyo mpaka kiasi cha jamaa kutihara ya heshima kwa diamond, safi sana diamond kaza buti watanzania wote tuko nyuma yako. 

TUMEAMIA HUKU