Featured Posts

Friday, June 27, 2014

MAMA MWENYE MIMBA YA MIEZI NANE AKIMBIA RIADHA MITA 800 KATIKA MASHINDANO MAREKANI

MJAMZITO Alysia Montano amekimbia mbio za mita 800 za US Track na Field Championships jana, ingawa mamba yake imetimiza wiki 34.
Bingwa huyo mara tano wa taifa alitumia muda wa dakika mbili na sekunde, 32.13 kumaliza na kufuzu hatua nyingine, akiwa amebakiza wiki saba tu kabla ya kujifungua. 
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 28, nyota wa zamani Chuo Kikuu cha California kumaliza wa mwisho haikumuumiza mbele ya umati Uwanja wa Hornet. 
Alianza kwa kasi na kuongoza kwa umbalo wa mita 120 kabla ya kuanza kuishiwa nguvu na kupotwa
Babu kubwa: Alysia Montano, mwenye mimba ya wiki 34 akishindana katika mbio za mita 800 za US Track na Field Championships
Showing: Montano takes on much-needed fluids ahead of her 800m race in Sacramento
All smiles: Despite carrying an extra passenger round with her, Montano looked like she was enjoying herself
Montano akiwa kwenye mashindano mjini Sacramento
Weighed down: Montano waits for her race to start on the opening day of the USATF Outdoor Championship
Montano akisubiri mbio kuanza katika siku ya ufunguzi wa USATF Outdoor Championship


Read more: http://jijiletuleo.blogspot.com/2014/06/mama-mwenye-mimba-ya-miezi-nane-akimbia.html#ixzz35sGb8OpC

TUMEAMIA HUKU