Featured Posts

Saturday, June 28, 2014

MSANII RECHO NAE ACHAFUA MTANDAONI, ATUPIA PICHA ZIKIONYESHA MICHIRIZI YA UTAMU LIVE

hivi ni kwamba mastaa wakihisi kuwa hawaongelewi njia pekee ya kurudisha umaarufu ni kutupia picha zisizokuwa na maadili mtandaoni? hivi punde msanii Recho ameweka picha ambazo kiukweli hazina maadili kwani zinaacha sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa haujafunikwa kabisa, picha hizo ambazo mapaja yote yako nje  zimepondwa sana na mashabiki ambao wameonyesha kutokubaliana nazo kabisa picha hizo 



TUMEAMIA HUKU