Featured Posts

Sunday, June 29, 2014

UCHAGUZI MKUU WA SIMBA SC WAFANYIKA

Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti Simba SC, Evance Aveva akiongea na wanachama wakati wa uchaguzi mkuu wa klabu hiyo unaofanyika katika bwalo la polisi, Oysterbay, Dar.
Wanachama wa Simba wakipiga kura kuwachagua viongozi wao.
Wanachama wa Simba wakiwa katika foleni kuelekea kupiga kura.

TUMEAMIA HUKU