Featured Posts

Monday, June 9, 2014

TAZAMA HAPA PICHA 10 ZA MWISHO ZA DIAMOND JANA KABLA YA UTOAJI TUZO ZA MTV

Mpaka sasa zaidi ya asilimia 90 ya maandalizi yote yamekamilika na kinachosubiriwa sasa hivi ni muda wa kujua washindi wa vipengele mbalimbali wanavyoshindanishwa kupitia MTV Africa Music Award ‘MAMA’ na Tanzania upande wa muziki tunae Diamond Platnumz pekee.
MOND9
Add caption
Hizi ni picha 10 za Diamond zikimuonyesha akiwa katika maandalizi ya mwisho ikiwa ni pamoja na interview kadhaa alizofanya kabla ya tuzo kuanza kutolewa,kama una Dstv tuzo hizi utazishuhudia kupitia channel 322.MOND10
Marlon Wayans ambaye ni miongoni mwa Waigizaji na pia mchekeshaji maarufu nchini Marekani ambaye ni mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu,anatarajiwa kuwa  ndiye muongozaji upande wa jukwaa katika ugawaji wa Tuzo hizi.

MOND8

Sehemu ambayo zitatolewa tuzo hizi ni kwenye Ukumbi wa Durbun International Convertion Center (ICC) katika mji wa Kwazulu-Natal, Afrika Kusini,Ripota wako wa nguvu asiyekubali upitwe na kitu chochote iwe usiku au mchana yuko South Africa kwa ajili ya kukufahamisha kila kitakachoendelea.




MOND6
MOND5

MOND4


MOND3


MOND2
MOND1

TUMEAMIA HUKU