Featured Posts

Saturday, June 7, 2014

MAJANGA DEMU HUYU AVUJISHIWA MAPICHA YAKE YA FARAGHA NA BWANA WAKE

NCHI za wenzetu  kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Kibongobongo sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.Licha ya kubanwa na sheria pamoja na maadili, wapo wasanii na wananchi wengine ambao kwa nyakati tofauti walijikuta katika adha ya kupigwa kama si kujipiga picha za utupu kisha zikazagaa mitaani.Wapo waliotajwa kupiga picha hizo kwa kusaka umaarufu, waliopigwa na wapenzi wao kisha wakazivujisha lakini wengine imedaiwa kuwa wamezivujisha wenyewe na kusingizia zimevujishwa na wapenzi wao.Huyu dada(jinakapuni) alipigwa picha na mpenzi wake ..na picha kuishia kwenye mitandao..Sasa swali linakuja...?je kila siku wadada wanaopiga picha za utupu mwisho wake wanazikuta mtandaoni na kwann wengine wanaendelea kupiga au kupigwa.


Naamini  viongozi wetu wanajionea wenyewe  haya mambo.

Pamoja  na  risk  zote  za kudiriki kuuanika ukweli  wa  mambo lakini  bado hatuoni hatua  zozote za  kisheria  zikichukuliwa  dhidi ya hawa  watu.......

Nadhani  huu  ni wakati  mwafaka wa  kuzielekeza  lawama  zetu kwa  wizara  husika.....

TUMEAMIA HUKU