Featured Posts

Sunday, June 8, 2014

HII NA ZAIDI YA AIBU, WANASWA WAKILA URODA KWENYE BUSTANI, WAKURUPUKA NA NGUO ZA NDANI MKONONI, SOMA MKASA HUU

katika  hali ya kushangaza watu wawili mwanamke na mwanaume walinaswa katika bustani katika ya mji hapa east afrika, tukio hili lilitokea siku ya ijumaa ambapo paparazi wetu waliweza kupewa tarifa na wasamalia wema ya kuwa katika bustani hiyo kumekuwa kukifanyika vitendo vingi ambavyo si vya kiungwana, bila kupoteza mda waandishi wetu waliamua kutinga eneo hilo na ndipo kufatilia hapa na pale waliweza kuwanasa watu hao wakivunja amri ya sita katika staili ya aina yake ambayo ilikua sio vigumu watu kuwashtukia, mara baada ya kushutuka kuwa wanafatiliwa na waandishi wa habari watu hao walikurupuka huku wakivaa nguo kwa tabu na kuelekea kusikojulikana


 

TUMEAMIA HUKU