Featured Posts

Sunday, June 8, 2014

DANCER WA ''BOB JUNIOUR'' MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE AKUTWA KWENYE KONA AKIJIANDAA KUVUNJA AMRI YA SITA NA DADA HUYU HAPA


DANCERwa Bob Juniour anaetambulika kwa jina maarufu Nurdin A.k.a dogo T, Akutwa live akijiandaa kufanya mambo ya wakubwa na dada huyo pichani jina lake limehifadhiwa...!!! Dogo alishangaa ghafla mwanga wa Camera kitu ambacho hakukitegemea na hapo ndipo zoezi lao lilipoishia, Tukio hili lilitokea hivi karibuni katika
Gloserry flani jijini Dar Es Salaam. Kitendo hicho kimemsababishia adhabu kali ya kutoshiriki baadhiya Show zitakazofanywa na kundi hilo lililochukua ushindi katika mpambano wa Dance mia mia mwaka huu na kusani mkataba kwa Mr Chocolate (Bob Juniour) Rais wa Masharobaro.

TUMEAMIA HUKU