Featured Posts

Monday, June 16, 2014

MTAZAME PASTA HUYU ALICHOMFANYIA MUUMIN WAKE, KAMA MAOMBI YENYEWE NDIYO HAYA HAPANA



Picha ya mchungaji akipapasa mati*ti ya muumini
Sasa ifikie muda stairi ya maombi ya muumini kuguswa/kukupapaswa na mchungaji yaishe.Chanzo chetu kimedaka upuuzi wa huyu mchungaji alioufanya kwa muumini wake. Mchungaji anayejulikana kwa jina la Samson Odey­emi huko Nigeria  anashikiliwa na polisi kwa kosa la ubakaji.Mchungaji huyu amembaka muumini wake aliyekwenda kwa mchungaji huyu kupata maombi. 
Taarifa kutoka kwa msichana aliyebakwa zinasema mchungaji huyu alimwambia huyu muumini atoe nguo zote ili aweze kumpa maombi, dada huyu alikataa na ndipo mchungaji huyu alitumia nguvu kumvua hatimaye kumbaka muumini wake.
Mchungaji huyu anashikiliwa na polisi kwa kosa la ubakaji akisubiri kufikishwa mahakamani mara uchunguzi ukikamilika.
Mmmhh....! hapa hakuna wakumuamini, dunia tayari ishabadilika. Wahenga wanasema umzaniaye kuwa  siye kumbe ndiye. Dada kakabidhi fisi bucha, jina la bwana likapote ghafla

TUMEAMIA HUKU