Featured Posts

Friday, June 6, 2014

LAANA HII, MASHOGA WASASAMBUA LIVE KWENYE KICHENI PATI , BALAA CHEKI PICHA ZOTE HAPA

Jamani hii ilikuwa jana sasambua mtaani mtoto katoka 40 basi watu shurti kumwaga manyanga..hapana chezea watoto wa mabibo umeona??? umeona SHOGA hilo linavyokata kiuno halafu wewe mwanamke mzima unalala kama gogo inahusu?????? chambua picha vizuri uone mashosti walivyokuwa wanaserebuka wapi mama Lulu kati ya kinondoni upo???? Jumamosi kwako mama na sitaki kupiga picha nataka nipigwe miye nisasambue kwa raha zangu..nizionyeshe sha....zinazompa wa ubavu wangu raha umesikia eehhh..mwanamke kiuno babu makalio majaliwa umenipata?????


 

















 

TUMEAMIA HUKU