Featured Posts

Tuesday, June 10, 2014

KUPITIA PICHA HII UTAWEZA KUMWONA BABA MZAZI WA DIAMOND AKIWA NA WEMA SEPETU

Ukitaka kujua kwamba Diamond na Wema Sepetu wametoka mballi na sababu ya kutokuachana kwako hadi leo utaipata hapa kupitia pichahii itaweza kukuonyesha kuwa Diamond Platnumz na Wema Sepetu wametoka mbali na kumbe hata Baba Mzazi wa Diamond Platnumz anajua mkwe wake.

Unaambiwa mara ya kwaza wema sepetu kukutana na Diamond Platnumz ilikuwa ni hapa katika hii picha
 Leo nimefanikiwa kuipata picha hii ya ambayo inamuonyesha Super Star Diamond Platnumz akiwa na Baba yake mzazi na picha nyingine inamuonyesha Wema Sepetu akiwa na Diamond Paltnumz pamoja na Ommy Dimpoz. 


TUMEAMIA HUKU