Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa vijana hawa hawaishi na mama yao wala ndugu yeyote kwani familia yao ina migogoro na familia inayo husiana nayo.
Chanzo cha udakuu huu kinaelezea kuwa kukaa pamoja kwa vijana hawa kwa muda mrefu ndiko kumechochea watamani kuchojoana na kupeana raha na ladha za dunia hii!!